Mwanza City: The Photo Gallery

house-–-1-1024x576.jpg
house-–-2-1024x576.jpg
house-–-3-1024x576.jpg
house-–-4-1024x576.jpg
kuna mahala nimekutana nayo hii, michoro ya chuo cha TIA mwanzacampus
 
pale ilipokuwa stand ya mabasi buzuruga, manispaa ya Ilemela tayari imeshaandika andiko la kupajenga jengo la kitega uchumi ambalo litajulikana kwa jina la buzuruga comercila centre. kwenye bajeti ya 2022/2023 wameweka kama mradi wa kimkakati.
Mbona huwa naskia hilo eneo la buzuruga ni la mtu binafsi?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hapana ni eneo la halmashauri, lakini kipindi wanajenga stendi walitoa ofa kwa watu wajenge vibanda vyao kwa muda fulani, huo muda ukiisha hivyo vibanda vitakuwa ni mali ya manispaa, kwahiyo hilo eneo lote la buzuruga stendi ni mali ya manispaa ya Ilemela.
 
Aah basi nahisi hilo eneo halmashauri walilinunua kwa mtu binafsi coz nakumbuka zamani kulikuwaga na mashine ya kusaga eneo hilo hilo.
 
Hilo ni eneo la halmashauri wanaweza kulifanyia chochote wanachotaka, hakuna mwananchi mwenye share kwenye hilo eneo.
 
Back
Top Bottom