Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Poa poa mkuu nataka nikitoka job jmos niende huko capripoint nikafanye jambo letu la kuongeza photo kwenye gallery yetu😂😂😂
Ukivuka rockbeach garden, pande hiyo nayo kuna mjengo unanyanyuka ingawa si mkubwa, inaweza kuwa apartments au hoteli ndogo
Screenshot_20220317-233808.png
 
Halafu the same road km away unakutana na stand kubwa ya Nyamhongolo, nitafurahi sana siku narudi Mwanza nashukia stand mpya ya Nyamhongolo.
 
Halafu the same road km away unakutana na stand kubwa ya Nyamhongolo, nitafurahi sana siku narudi Mwanza nashukia stand mpya ya Nyamhongolo.
pale ilipokuwa stand ya mabasi buzuruga, manispaa ya Ilemela tayari imeshaandika andiko la kupajenga jengo la kitega uchumi ambalo litajulikana kwa jina la buzuruga comercila centre. kwenye bajeti ya 2022/2023 wameweka kama mradi wa kimkakati.
 
Back
Top Bottom