Hivi mkuu Eiyer, zile nyumba pale jirani eti hazitabomolewa. Zile ghorofa mbili na nyumba zilizo jirani yake?
Hivi mkuu Eiyer, zile nyumba pale jirani eti hazitabomolewa. Zile ghorofa mbili na nyumba zilizo jirani yake?
Mlimani City nilishiriki kuijenga mwaka 2005/2006 nilikuwa pale na Noremco. Jengo lina upana wa mita 72 na urefu wa mita kama 129 hivi. Car Parking ile nilishiriki kuijenga imesanifiwa na kwa sasa ndiyo uwezo wake ni wa kuchukua magari 3000. Kadri nianavyo hiyo prototype( au 3D) ya mdau, bado hiyo Mall ya Mwanza ni ndogo kuliko Mlimani City. Uwezo wa Car parking ya Quality Centre ni magari 800 tu, hayazidi 1000. Hivyo kwa haraka Mlimani City ni kubwa kwa sasa labda Westgate ndo inamzidi.!
Sexer ni mtoto mdogo tu huyo hajui kitu. quality centre yenyewe walipiga kelele, 'oh! kubwa kuliko'. wapi? ukienda pale ni kama umeenda posta, parking hazitoshi. mlimani city ndo mambo yote, the busiest single place in tanzania. pale kuna shopping mall, ambayo hata hiyo mall ya mwanza haifikii, then kuna executive park ambayo ni kubwa tena kwa eneo lote la hiyo ya mwanza. hapo utakuta corporate offices za voda, tib, na wengine, na conference centre.
unafikiri mimi ni kama wewe?Hivi umeshatembelea maeneo yote mawili au unaongea tu basi?
sina uhakika na hilo. ila kwa sasa wanamiliki kwa ubia na ndo maana wanafanyia 'graduation ceremonies' pale kwa kuwa ni kwao.nasikia eti baada ya miaka 100 mlimani city itakuwa mali ya UDSM
najua akili za watoto wadogo kama wewe! ni matope.We kibibi unajua nn?
Ndo maana nimemuuliza mmojawapo kwamba keshatembelea miradi yote miwili au anaandika tu sababu anajua kuandika.Kumbuka mlimani city slop rocky city gorofa
Mrejesho tafadhari. Naona uzi wa kitambo huu.
Ndo maana nimemuuliza mmojawapo kwamba keshatembelea miradi yote miwili au anaandika tu sababu anajua kuandika.
Kaka hivi inafunguliwa lini na nasikia hiyo kitu ilipaswa ku extend hadi karibia na ghana huko kilitokea nini?sion haja ya kupga kelele kwan mnabishana nini
me ni fund mpaka dk hii nayoongea nipo hum ndan na mliman city naijua vizur
hii ktu ya mwanza ni habar nyingne kabisa cyo ya kufananishwa na m. city wala quality center
mnyamaze tusubir ufunguz
Kaka hivi inafunguliwa lini na nasikia hiyo kitu ilipaswa ku extend hadi karibia na ghana huko kilitokea nini?
fundi bomba au? hahaha!! yani upo mcity ndo unatia mbwembwe zote hizo? ungekuwa mwanza, hapo sawa. kwa sababu ile ndo inajengwa!sion haja ya kupga kelele kwan mnabishana nini
me ni fund mpaka dk hii nayoongea nipo hum ndan na mliman city naijua vizur
hii ktu ya mwanza ni habar nyingne kabisa cyo ya kufananishwa na m. city wala quality center
mnyamaze tusubir ufunguz
fundi bomba au? hahaha!! yani upo mcity ndo unatia mbwembwe zote hizo? ungekuwa mwanza, hapo sawa. kwa sababu ile ndo inajengwa!
Fatilia post toka mwanzo kiongozi huyu ni fundi yupo ndani ya hiyo shopping mall ya Mwanza inayojengwa na alikuwa anatoa mlinganisho wake kwamba hilo jengo haliifikii mlimani City kwasababu hata mlimani City anapafahamufundi bomba au? hahaha!! yani upo mcity ndo unatia mbwembwe zote hizo? ungekuwa mwanza, hapo sawa. kwa sababu ile ndo inajengwa!
Mkuu wapi hapo?
kumbe ndo zako eh!! kuuza sura kwa pipi ya 50/-we kilaza pisha wenye akil timamu waulize maswali
nyamaza mjengo ufunguliwe ukanunue pipi na co*ndm
got it! lets wait and seeFatilia post toka mwanzo kiongozi huyu ni fundi yupo ndani ya hiyo shopping mall ya Mwanza inayojengwa na alikuwa anatoa mlinganisho wake kwamba hilo jengo haliifikii mlimani City kwasababu hata mlimani City anapafahamu