CCM ni ile ile tusitegemee jipyaUsername1, uko sahihi ukitizama barabara za kuingia katika masoko ya mwaloni na kilimahewa ni mabovu sana kiasi maroli yenye shehena za mahindi na mchele hayawezi kufika hivyo kulazimika kufaulishwa kwenye mafuso na kuongeza usumbufu