hao viongozi lazima tuwatumbue,we subiri nifuatilie
Rais fyatua haya majitu,ni kero kwa ustawi wa Watanzania,taifa na chama.Sasa hivi ni msimu wa mavuno ya mahindi katika miji ya Guru na Mbarara nchi Uganda. Wafanyabiashara katika miji ya mwanza geita kahama na shinyanga wanafata mahindi nchini uganda na kuwauzia wananchi.
Mfanyabiashara mmoja aliamua kushusha bei ya mahindi ili wananchi wapate unafuu wa maisha cha ajabu viongozi wa jiji la mwanza wamekuwa wakiwasakama wafanyabiashara hao na kuwafungia biashara zao.
Wiki iliyopita katika manispaa ya Ilemela wafanyabiashara wa mahindi walifungiwa biashara zao na kuleta usumbufu kwa wateja.
Unatumia vibaya sana uhuru uliopewa kuongea uongo.Hivi kweli inawezekana mtu akasakamwa kwa kuuza mahindi wakati bei sokoni inajipandisha na kujishusha yenyewe.Leta ushahidi wa mfanya biashara mmoja tu aliefungiwaSasa hivi ni msimu wa mavuno ya mahindi katika miji ya Guru na Mbarara nchi Uganda. Wafanyabiashara katika miji ya mwanza geita kahama na shinyanga wanafata mahindi nchini uganda na kuwauzia wananchi.
Mfanyabiashara mmoja aliamua kushusha bei ya mahindi ili wananchi wapate unafuu wa maisha cha ajabu viongozi wa jiji la mwanza wamekuwa wakiwasakama wafanyabiashara hao na kuwafungia biashara zao.
Wiki iliyopita katika manispaa ya Ilemela wafanyabiashara wa mahindi walifungiwa biashara zao na kuleta usumbufu kwa wateja.
Watumbuliwa hawajaisha. Si unasoma hii habari ya viongozi walioota mapembe.Mwaka mzima mnatumbua tu ila tija itokanayo na utumbuaji huo bado haijaonekana!! Wakati watu waliaminishwa kuwa ugumu wa maisha yao chanzo ni hao watumbuliwa!!
inamaana Huyo Mfanya Biashara hakujua taratibu na sheria za Nchi? kama kakimbia kwa kuwa anajua hajafata taratibu, hao wasimamizi wangejuaje?Kabombe, kulikuwa na roli lenye shehena ya mahindi maeneo ya mwaloni lilikamatwa na kushikiliwa wakitaka nyaraka za kusafirisha na kuuza nafaka huku mmiliki akiwa kaelekea nchini uganda kufata shehena nyingine. Hivyo dalali aliyeachiwa akalazimika kulipia tena upya.
Vipi tuweke kila kitu wazi?