autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Habari ya jmos wana jamvi,
Nahitaji kisaidiwa MWANYA unaitwaje kwa kidhungu
Pia PENGO kwa kiinglish.
Nahitaji kisaidiwa MWANYA unaitwaje kwa kidhungu
Pia PENGO kwa kiinglish.
Open space,
Diastema/ tooth gap
Teeth gap.pengo ni broken tooth.
Diastema ni lugha gani hio?