Mwandishi wa Habari wa Deutsche Welle(DW) adaiwa kukamatwa wakati akipiga picha raia waliozuiwa kuingia ndani kushuhudia uzinduzi wa Rada, aachiwa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,044
144,425
Watetezi tv kupitia twitter wameandika hivi:

Breaking News: Mwandishi wa habari wa Deutsche Welle(DW), Ahmad Juma andaiwa Kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kupiga picha raia waliozuiwa na polisi kuingia ndani kushuhudia uzinduzi wa Rada mpya eneo la uwanja wa ndege terminal one.

Tunaendelea kufatilia tukio hilo.








UPDATE:

Baada ya mahojiano na vyombo vya usalama, mwandishi huyo ameachiwa huru
 


Inadaiwa Mwandishi wa habari wa DW Ahmad Juma amekamatwa na polisi baada ya kupiga picha tukio polisi kuzuia wananchi kuingia ndani kwenye uzinduzi wa Radar

Chanzo : WateteziTV

Swali : Ni kweli hii ndio sababu halisi au ndiyo yatakuwa yale ya Kabendera ?
 
Una uhakika kwamba hiyo sababu iliyotolewa hapo ni ya Kweli Ndugu?

Na je ulitaka Wananchi wote waingie kwa Fujo ndani ya Uzio hapo Uwanjani kisha walete usumbufu kwa Watu wa Itifaki ambao ndiyo wana Jukumu la Utaratibu mzima wa Matukio ya Rais huku pia wakiwa ndiyo Waratibu wake Wakuu wa Usalama wake popote pale alipo?

Halafu Suala la Kabendera hapo linaingiaje labda? Kwani naona ni kama vile liko 'out of Context ' kabisa.

Tupunguzeni Majungu, Umbeya na Uzushi.
 
Acha tu wazuiwe kwani walikuwa na umuhimu gani kuhudhuria uzinduzi huo! Mimi nadhani kuna matukio yanayohitaji kuwepo wa wananchi na hilo sio moja ya matukio hayo.
 
Naona ametinga shati la UKAWA!
 
wanaanza kuogopa sasa angalau kidogo, ingelikuwa enzi za jana angelitoweka na watu wasiojulikana
 
Nao wana kiherehere waliambiwa hapa kazi tu hawakusikia.
Mpaka bunge live lilisitishwa kapuku wakachakalike lakini wao bado wanapoteza muda kwenda kushangaashangaa hata kama wanapata mkongoto wa mbwa koko ni halali yao hamna namna.
 
Nao wana kiherehere waliambiwa hapa kazi tu hawakusikia.
Mpaka bunge live lilisitishwa kapuku wakachakalike lakini wao bado wanapoteza muda kwenda kushangaashangaa hata kama wanapata mkongoto wa mbwa koko ni halali yao hamna namna.
 
An Eagle,

OK sababu sio hiyo. Basi tuambie wewe sababu ni nini?

Utawala huu unajua kujitengenezea uadui! Hakuna mfano.

Nakubaliana na alilosema mtu hapo juu, utasikia ni money laundry au uhujumu
Huyu mbwiga kila kitu anatetea hata ambavyo hajui anajiona yeye ndiye ana uchungu kuliko wote,yaani hili chama limekuwa la kishamba mno.
 
Umempa majibu yaliyokwenda shule haswaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…