Mwandishi Ni Mjumbe, Hauawi ( Makala, Raia Mwema)

Mjengwablog Inachangisha Pole Ya Kumsaidia Mjane Wa Daud Mwangosi Kuendesha Biashara Ndogo...

Ndugu zangu,

Kwa vile tayari ameahidiwa msaada wa kusomeshewa watoto. Msaada anaouhitaji kwa sasa ni kupata photocopy machine ( Used) na kodi ya pango la ofisi. Jumla yake kwa yote hayo mawili haitazidi shilingi za Kitanzania milioni mbili na laki mbili. Hivyo msaada anaouomba kwa wenye mapenzi mema ni shilingi 2, 200,000 ( Shilingi milioni mbili na laki mbili). Shughuli hizo zitamsaidia kujikimu.

Natanguliza Shukrani.Maggid Mjengwa, Iringa.0788 111 765
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo

Acheni ubahili! Hao Channel Ten wanaweza kutoa hizo 2.2m, Press Club ya Iringa wanaweza kuchanga 2.2m, hata wewe Mjengwa unaweza kumpa hizo 2.2m - mnaanza kuleta za kanumba hapa....... Said mwema anaweza kutoa 4.4m
 
Back
Top Bottom