Mwandishi Josephat Isango abeza kasi ya Magufuli

Mwandishi Josephat Isango abeza kasi ya Magufuli

ndio chaguo lake hakuvunja kipengele chochote cha katiba magufuli aliyepachikwa kwa mwezi mzima anafanya mazingaombwe tu
kila mtu alikuwa na chaguo lake, hata hashim Rungwe, mama mghwira, etc walipata kura za watanzania lakini uchaguzi sasa umekwisha sio muda wa kubeza mambo yanayofanyika. Kwa sasa mtu akifanya jambo lenye tija anapongezwa akiharibu anakosolewa tuondoe hangover za uchaguzi maana hata mgombea wake ameshakubali kushindwa hata kama hakuridhika na matokeo ndio maana katulia
 
jipu hilo........litatumbuka tu muda si mrefu........hapa kazi tu!! itaua wengi kwa presha ila potelea mbali.........kwetu sisi bora zaid tz...."Mungu pamija nao"
 
Nimeshangaa kumuona kwenye kipindi cha matukio cha EATV akibeza kazi ya Magufuli inayoendelea.

Eti Magufuli anavunja sheria !

Anaendelea kulilia baraza la mawaziri litangazwe ili mawaziri watakaoteuliwa wapate muda wa kujiandaa kujibu hoja za wabunge.

Ongea yake pake studio iliashiria kuwa ni mtu alijidunga viroba kabla ya kuingia studio.

Ushauri wangu kwa waandishi wa habari ni mmoja tu...

Wakae kimya kwani mwaka huu wameshindwa kutumia kalamu zao kutuwekea Rais wa hovyo hovyo.

Haya ni maoni yake na ya watu wengine pia. Urais ni taasisi na siyo one-man-show. Hivi fedha anayoelekeza kwenye barabara na hospitali imeidhinishwa na nani? Nani atafuatilia matumizi yake?
 
Hiyo Hotmix yenu msituletee wachambuzi wenye hasira za kushindwa. Huyo mwandishi uchwara Mhegela amemtukana Rais.

Acheni kutuletea mijadala hovyo.
 
Hakuna sehemu alipomtukana rais ila tu amekosea kusema rais magufuli amewekwa na nguvu ya wafanyabiashara ili.........
 
Jamaa yupo bitter kupitiliza, critics ni muhimu pia, lakini yeye hana jema.
Imebidi mtangazaji aweke wazi kuwa raisi amechaguliwa na majority ya wa Tanzania, hakuna kundi la watu, au taasisi iliyomuweka madarakani.
 
Huyo bila shaka ndio wale waandishi makanjanja team Lowassa!
 
Huyo aliyekuwa anahojiwa jamaaa ni mbumbu sana aisee eti anasema rais wa ccm!!!! Jamaa anatafuta kufahamika aisee
 
Hata Jana walimleta mwandishi mwingine Tena, hivi kama hakuna watu makini kuwaalika si akheri kubadili kipindi
 
Yuko sahihi nchi haiendeshi kwa mipango ya gagla lazima mfumo mzima ufanye kazi not a single particle.
 
Kazi ya waandishi ni kuadvertise vipind vyao sa nashangaa ujornalism na politic s vinaingilianaje,play your parts
 
Hence for kila mtu ana mtazamo wake thats y tunatofautiana kifikra
 
Think divergent and convergent!! Options za MTU ziheshimiwe. Qualitative perspective
 
Josephat Isango yuko sahihi kabisa, watu wanaosifia sifia kila kitu bila kujipa mda wa kutathimini ni mabwege tu. hizo ni tabia za kike,watu wenye akili lazima tuusceen huu utawala wa Mwalimu Magufuli,
 
Kila mtu ana mtizamo wake lakini anapo kuja mtu na habali ichunguze kwanza upate undani wake ili uitolee majibu hata mimi bado sijamuamini magu
 
Back
Top Bottom