Mwandishi Josephat Isango abeza kasi ya Magufuli

Mwandishi Josephat Isango abeza kasi ya Magufuli

Nimemsikia huyu janaa atakua CCM tu...sababu baraza analo lilia linekuwepo kwa takriban awamu 3,jumla ya miaka 30 halijawahi kuistua afrika na dunia zaidi ya watu hawa wanne wanaoongoza serikali kwa sasa kwa yale wanayofanya!
 
kuna watu wanataka tufikirie kama wao kwa kila kitu...mmoja wapo mleta mada,ukifikiria tofauti kosa,,,,hivi hoja ya kuchelewesha cabinet aliyotoa isango ina tatizo gani
Hivi lile fisadi lenu la kubandika juani ndiyo liongee liko wapi kwa sasa.
 
kuna watu wanataka tufikirie kama wao kwa kila kitu...mmoja wapo mleta mada,ukifikiria tofauti kosa,,,,hivi hoja ya kuchelewesha cabinet aliyotoa isango ina tatizo gani

Hoja yake ni kwamba mawaziri watakaoteuliwa kwa kuchelewa watashindwa kujibu hoja za wabunge.

This is nonsense!
 
Jk alianza hivyohivyo?we wa wapi?Nchini kenya Mafufuli ni gumzo na challenger mzuri kwa siasa za Kenya;Nchini Uganda nasikia Ktk kampeni zao mgombea wa upinzani amechukua kauli mbiu Hapa kazu tu,JPM anazungumzwa huko halafu mtu bado anasema hata jk alianza hivyo kweli?Majuzi Baraza la vujana chadema nimesikia wametoa tamko kua Ccm isimwingilie Magufuli ktk mambo yake!halafu mtu abasema hata jk akianza hivyohivyo!...
 
Jipu la mauzo ya nyumba za serikali litampasukia mwenyewe magufuli!!!! na usaha utakaotoka utamchafua nguo zake zote.

SIKU HIYO INAKUJA.
 
Nazidi kuzisoma rangi za Chadema ....hatuwezi kujenga upinzani namna hii ....
 
Serikali ya tz ina nyymba?Kwa tz naona watu binafsi ndio wanamiliki nyumba kwa kiasi kikubwa....maana mtu mmoja anaweza miliki nyumba 73
 
Huyu mwandishi huwa hana akili sana.
Actually hana akili kabisa, na hii tasnia ya habari haimpi uwanda wa kujiendeleza kifikra maana hana uwezo wa kuchambua maswala kama mtu aliyeenda shule.
Cha maana ni kumpuuza tu ili alowee kule anako stahili.

Miaka karibu miwili iliyopita niliichambua habari moja aliyoandika na kumwonyesha kuwa ni factually incorrect, pengine kutokana na ufinyu wa uelewa na nilimpigia simu.
Matokeo yake akaanza kubwabwaja kuwa tunafuatilia, na kwamba yeye haogopi watu wa usalama.
Nilipomweleza kuwa na mimi ni mdau wa habari, bado aliendelea kubwabwaja kuliko kuona ile point of view nilimwonyesha.

Kutokana na tukio hilo, nilisha jenga msimamo kuwa huyu si mtu mwenye akili sana, maana hana uwezo wa kutazama issue from a different pesrpective.

Mpuuze tu mkuu, hao ndo makanjanja wanaoogelewa katika tasnia ya habari.
 
Huyo ni mnafiki tu hana lolote na TIMU LOWASSA TENA MPUUZI TU..Nakumbuka siku Lowassa akiwa bado CCM alipoita waandishi wa habar nyumban kwake Dodoma na kuongea nao akitangaza nia kugombea urais kabla ya kwenda Arusha Amri abeid...huyu mpuuzi kesho yake au siku ilofuata akiwa Star TV aliwaponda sana tena sana waandishi wa habari wote waliokuwepo siku hiyo akidai eti hawakujipanga hawakuwa na maswali sahihi ya kumuuliza Lowassa na hivyo conclusion yake ilikuwa ni kwamba WALIHONGWA WASIULIZE maswali muhimu.

Haikupita muda baada ya Lowassa kuhamua CHADEMA huyu kanjanja ndiye aliyekuws anatokwa povu sana kumtetea FIDADI HUYO akiwalaumu watu woooote wanao mtuhumu Lowassa eti hawana ushahid tena alikuwa mbele mbele kudeki kila uchafu wa Lowasa.

Kumbukeni hata siku Dr. Slaa akiongea na waandishi wa habari siku ile ndiye yeye alikuwa amefura sana hadi Dr Slaa akamuita kwa kumtaja jina akimpoza apunguze jazba aulize maswali yake.

Maana yangu ni kuwa HUYU MWANDISH HANA LOLOTE LA KUJIVUNIA ZAID YA KUWA DEKIO LA LOWASSA NA HAPO ANAUMIA SANA ANAYO FANYA RAIS MAGUFULI.

Kwa sasa kazi yake ni kumsemea Kubenea apate exposure kwa watu. ..mwisho mpuuzeni tu hana lolote na hana la maana analojua NI KANJANJA TU KAMA ALIVYO YERICKO.
 
Huyu Isango ni punda wa chadema, ni yule alikua na jazba sana na kuuliza maswali aliokua akitumiwa kwenye Sms na Mbowe Ile siku Dr slaa aliyoitisha Press
 
Mimi binafsi nilikuwa naiheshimu sana EATV na hasa kipindi hicho cha hot mix,lakini kwa leo wamenivunja moyo,unawezaje kumleta mchambuzi WEAK kama yule kwenye issue sensitive kama ile?!kwani mbona watu waliobobea kwenye uchambuzi wa siasa ni wengi tu,unless kama tumeamua kulidhihaki neno "mchambuzi",mchambuzi ambaye mara kadhaa nae akawa anachambuliwa na mtangazaji kwa kukosolewa! Au alipoalikwa kuja kuchambua alidhani anakuja kuchambua mchicha?
 
Wakina Adela wako weng....hawawez onkna mpka anyooshe kidole
 
Jk alianza hivyohivyo?we wa wapi?Nchini kenya Mafufuli ni gumzo na challenger mzuri kwa siasa za Kenya;Nchini Uganda nasikia Ktk kampeni zao mgombea wa upinzani amechukua kauli mbiu Hapa kazu tu,JPM anazungumzwa huko halafu mtu bado anasema hata jk alianza hivyo kweli?Majuzi Baraza la vujana chadema nimesikia wametoa tamko kua Ccm isimwingilie Magufuli ktk mambo yake!halafu mtu abasema hata jk akianza hivyohivyo!...

Hata magufuli pia nae amesafiri kwa kaulu mbiu za watu haikutosha sasa anatumia kabisa ilani ya ukawa tatizo manuary inaionesha tu how to fry kazi ipo kwenye kutua
 
Mimi binafsi nilikuwa naiheshimu sana EATV na hasa kipindi hicho cha hot mix,lakini kwa leo wamenivunja moyo,unawezaje kumleta mchambuzi WEAK kama yule kwenye issue sensitive kama ile?!kwani mbona watu waliobobea kwenye uchambuzi wa siasa ni wengi tu,unless kama tumeamua kulidhihaki neno "mchambuzi",mchambuzi ambaye mara kadhaa nae akawa anachambuliwa na mtangazaji kwa kukosolewa!au alipoalikwa kuja kuchambua alidhani anakuja kuchambua mchicha?
Mtangazaji kila akijaribu kumrudisha kwenye mstari jamaa anazidi kuvuruga...akili ya viroba ni balaa
 
Back
Top Bottom