Mwandishi anapozawadiwa Ubunge kwa kupendelea

Kwa hiyo chadema ikifanya kile kinachofanywa na ccm tofauti yao itakuwa wapi...kutakuwa kuna haja gani ya kubadili serikali kama wote ni walewale?!!!!

Lini uliwahi kubadili serikali wewe ?
 
....UKAWA (chadema).....Hiki chama kinazidi kujionesha kuwa ni cha kihuni...ndo mana akina sisi tuliokuwa tukikiamini tumeamua kukipotezea, kimepoteza sura ile iliyofanya tukipende enzi izo

Akili imehamia machoni ndio tatizo hilo
 
....UKAWA (chadema).....Hiki chama kinazidi kujionesha kuwa ni cha kihuni...ndo mana akina sisi tuliokuwa tukikiamini tumeamua kukipotezea, kimepoteza sura ile iliyofanya tukipende enzi izo

Ni kweli Juma Mkamamia na Amina Molleli ni waandishi waliopendelewa sana.
 
Kwa hiyo chadema ikifanya kile kinachofanywa na ccm tofauti yao itakuwa wapi...kutakuwa kuna haja gani ya kubadili serikali kama wote ni walewale?!!!!

Vyama vya Upinzani sio CDM pekee
 
Uzuri wa ukawa "wakipeana" nia yao ni kuboresha safu ya kuichachafya ccm ila sasa ccm wanapeana nia yao ni kutunziana maslahi tu
 
....UKAWA (chadema).....Hiki chama kinazidi kujionesha kuwa ni cha kihuni...ndo mana akina sisi tuliokuwa tukikiamini tumeamua kukipotezea, kimepoteza sura ile iliyofanya tukipende enzi izo

mbona wewe umezawadiwa mimachoo....
 
Kwa hiyo chadema ikifanya kile kinachofanywa na ccm tofauti yao itakuwa wapi...kutakuwa kuna haja gani ya kubadili serikali kama wote ni walewale?!!!!

Wewe ulitaka wamweke nani? Na huyo ambaye wangemweka angetoka mbinguni? Nonsense. Watu wengine wana mtindio wa ubongo
 
....UKAWA (chadema).....Hiki chama kinazidi kujionesha kuwa ni cha kihuni...ndo mana akina sisi tuliokuwa tukikiamini tumeamua kukipotezea, kimepoteza sura ile iliyofanya tukipende enzi izo

Wewe ni bumunda la maccm unaandika usicho kijua
 
Devota Minja .ITV, Morogoro. Tukiwa ambia hiki chama kina wenyewe watu wanaishia kutokwa povu. CHADEMA ina wanachama na wenyechama. Wenyechama wanapiga hela ,wanachama mnaishia kujazwa mihemko. The more you know,the more you realize you know nothing! Think big!!!
 
Back
Top Bottom