faiza bora usicomment kuliko kutoa hoja ya kustaajabisha kiasi hicho.Hata wewe unaweza kuanzisha kikundi chako ukakiita cha Kiislam ili kuupaka matope Uislam, ni nani asiyejuwa kuwa ISIS imeanzishwa na USA na washirika wao?
Jee, wewe hujuwi? tukupe data?
Hawa ISIS hawaui Wakristo au Yazidi peke yao .wanawaua hata Waislamu wa Kishia na hata Wasuni ambao hawa wasapoti .hapa ndipo unapokuta hawaeleweki hawa jamaa Ndio maana sasa hivi Saudi Arabia, Jordan,Turkey,Irani na dunia yote sasa hivi ni tumbo joto..
Sasa hivi adui mkubwa ktk Mashariki ya kati sio tena Muisrael bali ni ISIS
faiza bora usicomment kuliko kutoa hoja ya kustaajabisha kiasi hocho.
Ally Kombo nimekusoma. Hivi wamerakani walikuwa wanateremsha mabomu ili kutetea dini yao/kumpigania mungu wao? Hawa IS wanafanya haya kwa jina la imani yao. Nawe Kombo unakubaliana na haya ya IS kuchinja watu kwa kigezo cha imani?Wamarekani walikuwa katika imani gani wakati wanateremsha. mabomu ya Atomic katika miji ya Nagasaki na Hiroshima !?? bato
Ally Kombo .....hata hapa ni altareni?Ni hatari sana kuamini kuwa mungu kamwaga damu ya mwanae wa pekee kwa ajili ya wapppuzi fulani ambao hupanda Altareni kunywa Dodoma wine wakiamini wanakunywa damu !
Hawa ndio real blood sucker ! Utingo
Hawa ISIS wamefadhiliwa na Wamarekani na si Uislaam uliowapa pesa na Silaha !
Wamarekani ndio wamaliwezesha hilo kundi kwa kulitambua, kuwapa pesa na silaha !
Walikuwa wanawashabikia ili wakaue wakina nani !?? Kaduguda
Hata wewe unaweza kuanzisha kikundi chako ukakiita cha Kiislam ili kuupaka matope Uislam, ni nani asiyejuwa kuwa ISIS imeanzishwa na USA na washirika wao?
Jee, wewe hujuwi? tukupe data?
FaizaFoxy Hivi wewe ni mwanamke kweli ambae anaujua uchungu wa kuzaa au hili jina kwenye avatar yako ni bandia na halina uhusiano na jinsi yako? Maana unachokiandika mara nyingi kiko very controversial!! Siamini mwanamke wa kawaida anaweza support hiki kitu kinachofanywa na hawa jamaa. Kama ni maadui wao kivita si wawafuate huko USA waliko tujue kweli sasa hapa wameamua kupigana vita na adui yao kama kweli ni USA. Lakini hiki kitendo cha kuua watu wa jamii yako kisha unasema ni kwa sababu ya kuwezeshwa na USA ni ujinga na upuuzi wa hali ya juu. Hivi unataka kuniambia hata wewe ukiwezeshwa na kupewa mafunzo na USA basi, unaweza anzisha kikundi chako, hasira zako na mazoezi yako ya kuua ukayafanyia kwa ndugu zako wazaramo na wanyamwezi au sio?
Sikubaliani na unyamafu unaofanywa na ISIS na yeyote yule anayeua watu wasio na hatia!
Ndugu Ally Kombo Hayo uyasemayo sina uhakika nayo na sina uwezo wa kuyathibitisha. Kwamba Marekani ndio wamewawezesha hawa jamaa au la, mie sijui. Ila ninachokishuhudia na ambacho kinasikitisha na kutia kichefuchefu ni huu unyama ambao wanautenda kisha kufurahia kana kwamba wanayemchinja ni kuku au mbuzi wa nyama. Sidhani kama ni roho ya kibinadamu kuua jamaa yako achilia mbali wangekuwa ni mabedui, bali watu ambao ni raia wa kawaida kabisa tena waarabu wenzao, kisa wametofautiana kimadhehebu, hii haikubaliki kabisa.
Angalizo: Sishabikii mauaji ya aina yeyote yale kwa mtu yeyote yule! Nipendalo ni hili, watu wote waishi kwa amani basi!!
Someone said that Islam is cracking within....this is a damn proof....what will happen when IS enters Lebanon between IS (Suni) and Hizbollah (Shia)...whatever they worship, it is dead!
Dunia haitatokea kuwa na Amani mpaka watu wenye akili za Kiyahudi na Kimarekani watakapokuwa hawapo Duniani
Kwa taarifa yako:
1. Talibani imeundwa na Wamarekani na kufadhiliwa fedha, silaha na mafunzo ikisaidiwa na Pakistan.
2. ISIS Imeundwa na Wamarekani na hayo yamezungumzwa hadharani bila ya kificho na Wamrekani. Ikiwa pamoja na kuitangazia Dunia kuwa wamewafungulia Account na uongozi wao unatambuliwa na Washington.
3. Uchokozi, chokochoko, na fitna juu ya Ukraine imenzishwa na Wamarekani na EU kwa kuishawishi na kutafuata influence katika nchi inayo share boarder na Russia.
Kaduguda habari ndio hiyoo !
[h=3]Somebody needs to go back to ‘Beheading School' for a refresher course (WARNING: Graphic Images)[/h]faiza bora usicomment kuliko kutoa hoja ya kustaajabisha kiasi hocho.
[h=3]Somebody needs to go back to ‘Beheading School' for a refresher course (WARNING: Graphic Images)[/h]Lebanon walishapigana Wanamgambo wa Kiislaam na Wanamgambo wa Kikiristu. Mpaka leo mipaka yao ni mitaa tu ! Ili kuwa ni vita ya mtaa kwa mtaa !
Ally Kombo nimekusoma. Hivi wamerakani walikuwa wanateremsha mabomu ili kutetea dini yao/kumpigania mungu wao? Hawa IS wanafanya haya kwa jina la imani yao. Nawe Kombo unakubaliana na haya ya IS kuchinja watu kwa kigezo cha imani?
Huo ndio uislamu! Kama hamtaki siwalazimishi! Ilaha nyie masuni mtakiona kitu mbaya watakacho wafanyia shia. vise versa!