Mwanaye Osama aapa kulipiza mauaji ya babake


fungi

fungi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Messages
2,495
Likes
4,268
Points
280
fungi

fungi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2014
2,495 4,268 280
Mwanaye aliyekuwa kiongozi wa mtandao wa kigaidi wa al Qaeda Osama bin Laden, ameapa kulipiza kisasi kwa mauaji ya babake.

Katika ujumbe wa sauti uliochapishwa katika mitandao Hamza bin Laden ameapa kulipiza kisasi kwa Marekani kwa kumuua babake 2011 huko Pakistan.

Ujumbe huo wa dakika 21 wenye kichwa "We Are All Osama,", Hamza ambaye inaaminika kuwa alikuwa na babake makomando wa Marekani walipowavamia na kumtwaa ameapa kuendeleza kazi aliyoianza babake.

''Tutaendelea kuwasaka na kuwapiga popote pale mtakapokuwa mumejificha ati nyuma ya pazia za usalama kwa maovu munayoyaendeleza ,Palestina, Afghanistan, Syria, Iraq, Yemen, Somalia na kote kwenye ardhi ya waislamu mnayokalia '' shirika la habari la Reuters linamnukuu.

''na kwa wale wanaodhania kuwa tutakuwa tukilipiza kisasi mauaji ya Osma ole wenu, kwanini sisi tutakuwa tukilinda dinia ya kiislamu'' alisema Hamza.

Osama aliuawa na makomando wa marekani katika maficho yake huko Pakistan mwaka wa 2011.

Hamza ambaye kwa sasa ana umri wa kati ya miaka ishirini hivi alikuwa na babake kabla ya mashambulizi ya kigaidi ya mwaka wa 9/2001 huko Afghanistan kabla ya kukimbilia Pakistan kufuatia mashambulizi makali ya Marekani na washirika wake.

Hamza kulingana na wachanganuzi anatambulishwa na kiongozi wa kidini wa kundi hilo Ayman al-Zawahiri katika ujumbe huo unaolenga kuwavutia vijana ambao kwa sasa wamejiunga kwa wingi na kundi la Islamic state.
 
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
9,238
Likes
11,647
Points
280
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
9,238 11,647 280
'Tutalipiza kisasi na ole wake atakayedhani kuwa sisi tunalipiza kisasi'
 
K

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Messages
8,333
Likes
1,711
Points
280
K

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2013
8,333 1,711 280
Uislam ni Amani,yoyote atakayekwenda kinyume na AMANI,si muislam huyo.
 
Idd Ninga

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Messages
2,601
Likes
1,001
Points
280
Idd Ninga

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2012
2,601 1,001 280
propaganda mpya ishazaliwa,dunia ijipange tena kushuhudua majeshi yakivamia halafu badae yaombe msamaha kuwa yalikosea,nyamafu hawa wanatuharibia dunia yetu,mungu awalaani na utapeli wao wa dini za watu.
 
Idd Ninga

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Messages
2,601
Likes
1,001
Points
280
Idd Ninga

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2012
2,601 1,001 280
propaganda mpya ishazaliwa,dunia ijipange tena kushuhudua majeshi yakivamia halafu badae yaombe msamaha kuwa yalikosea,nyamafu hawa wanatuharibia dunia yetu,mungu awalaani na utapeli wao wa dini za watu.
 
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
24,480
Likes
13,108
Points
280
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
24,480 13,108 280
Inatafutwa sababu uchwara ya uhalifu
 

Forum statistics

Threads 1,235,169
Members 474,353
Posts 29,213,612