Mwanaume


duh inaonesha una experience sana aseee
 
Hahahaaaa boobookitty watakutolea mineno haoo maana wavulana wa humu wana gubu kama mawifi.

Ila mama wapo wanaume wanaojitambua na ukiwapata daah unaenjoy sana, sema wengi vimeo.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha!! Wakati mwingine huwa na sisi tunaangalia wanaoridhisha... Sasa unakuta una Umbo la Kabati nani apoteze pesa Zake?

Sehemu zenye hadhi ya kutoa noti wala hatuulizwi tunajikuta tu tunakata wallet bila kujuta, hata asubuhi ukiamka huna hata mia lakini moyoni unatabasamu.......jitafakari
 
kanga za mafumbo.

Wala si maneno ya kanga, hiyo ni moja ya terms zangu kuku-alert kwamba you should tune/adjust yourself in V-mode, sio mpaka mim nije kukupanga na kukupangua. Na bahati nzuri wifi yako amezimaster terms zote. marry xmass too.
 
Wanaume wanadharau wao sijui huwa hawajioni?,

Na wasio na hizo hela sasa ndio wanagubu wifi anakaa pembeni.
Wengine ukimuangalia hata hisia haziji hata iweje, ni ongara plus plus ila kujitutumua sasa nao waonekane watu kati ya watu!!
 
Sasa hayo masharti ndo Balaa linapoanzia, kwani wewe shida yako madoido au ukojoe?!!
 
Mapenzi ya kweli hayahitaji conditions, yanamea popote pale, whether one has money or not, handsome or not, an expert in love making or not, you have to adjust your way of thinking on this mater

Hivi bado unafikilia kuna mapenzi ya kweli??? Mapenzi ya kweli yapo kwa mama yako mzazi mengine yote kuibiana tu
 
Hehehe.
Someone did not get christmas shoes.
Sasa kama show hawezi si usimamie show wewe dada? Unamshow hadi anaona show na yeye.

Kwani huyu analijua hilo basi? Labda akishakuwa.
 
Ushaliwa wewe , chezea wanaume wewe..ntakuwa umeliwa alafu umetemwa..amai aharinu pesa zake kwa mtu gogo kama wewe..!! ishia wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…