Mwanaume zingatia haya mambo madogo

Kwa hiyo akae Uchi /ajambe mbele ya mwanamke sababu ni kitu anapenda?
Acha umama mkuu.
 
yote haya na bado unatombewa
 

90% ni fikra za miaka 1800 huko.

10% upo sahihi
 
Kwa hiyo akae Uchi /ajambe mbele ya mwanamke sababu ni kitu anapenda?
Acha umama mkuu.


Sasa mbona umama, hizi ni tabia za wanaume washamba yani wanapenda kuforce hoja zao zikubalike na ukiwapinga wanakutukana, eti umama ni dhahiri umejionyesha wewe ni uneducated.

Nakuuliza kwani mkiwa chumbani mnafanya mapenzi huwa mnafanya mkiwa na nguo? Yani nini cha ajabu?

Ukitoka kuoga unavalia wapi nini maana ya kuwa na masterbed room? ukiwa unavaa unavalia wapi nguo au unamwambia akupishe chumbani? nini maana ya kuwa na chumba cha pamoja cha baba na mama, yani niogope kuvaa nguo au kuaachia uume wangu mbele ya mke wangu kisa nitakua sio lijali hizi tafiti mnazitoa wapi? Otherwise uwe na minyamanyama au una kibamia ndiyo utaogopa kukaa utupu mbele ya mke wako, akili za kitoto sana hizi
 
Nami pia niongeze point muhimu kwa wanaume wenzangu.

Baada ya kumaliza mlo wa usiku jitahidi kunywa maji mengi,kunywa maji ya kutosha mwanaume. Hii itasababisha usiku uamke amke kwenda kukojoa, hivyo unavyoamka usiku unapiga Doria mjengoni kwako, hiyo itakusaidia kuepuka mambo ya kipuuzi kama kuibiwa na vibaka(mie mtaani kwangu Vijana wanasemaga huwa silali usiku, maana mara nyingi wakikatisha anga zangu wananikuta nipo nazunguka zunguka)

Hii kanuni inasaidia mambo mengi sana ukiitumia, hata Ile michezo ya watoto wa jinsia tofauti kuamka usiku kwenda kuzamia chumba cha jinsia nyingine(nilikuaga nazamia sana chumba cha house girl enzi zangu) itapungua
 
Rangi ya nguo pink na purple siwezi kuvaa hata siku moja ila njano na maloon kwangu hazina shida., hapa nilipo tu nimepiga tshirt ya long sleeve rangi maloon plain
 
Bila namba 2 nitaishi vipi? Asiniambie ananipenda? Mwenyewe anajua kitakachomkuta, moto atakaowashiwa sio wa kawaida.

Namba 6 ndio nguzo kuu ya mahusiano/ndoa. Mawasiliano imara ni kitu cha msingi kuliko vyote. Siwezi kujiona mapenzini bila mawasiliano imara.
 
Oya kuna rafiki yangu huyo anabembeleza ni hatari, huyo mkewako usiyemchekea wala kumwambia unampenda pale hachomoi, ndani ya sekunde 360 anakuwa keshaliwa.

Jamaa Simu yake inanamba nyingi za wake za watu, ukisoma sms sasa utakuta mke wa mtu kaandika mmewangu hajui kumbembeleza mwanamke ila nikiongea na wewe nahisi raha natamani hata ningeolewa na wewe.

Anachofanya sio kitu kizuri ila kupitia yeye nimebaini ukijifanya mwamba sana mke anapoteza hisia na wewe na inakuwa rahisi kuliwa na mtu atayeonesha kumjali hata kwa kuigiza
 
Kabla sijasahau uneducated mwenyewe.
Pili jaribu kusoma alichoandika mtoa mada kwa makini na kuelewa. Hajasema usikae uchi mbele mkeo, ila kaa uchi ukiwa na sababu(labda umemaliza kutomba, au umetoka kuoga). Sio kwa sababu wikend leo unashinda nyumbani basi siku nzima unazunguka uchi wa mnyama chumbani mbele ya mkeo,
 
Zingatia neno hovyo hovyo,hutakiwi kukaa uchi hovyo hovyo, hutakiwi kufanya chochote hovyo hovyo,hivyo tu.
 
niliwai kubahatika kuingia mahabusu kahama kama mtuhumiwa miaka ya 2012.
sikuamini nilichoona wanaume wa kisukuma hawatofautishi chupi za kiume na kike!
wanavaa zozote bila hofu, hadi bikini!
sijui na wanawake ni hivyo hivyo au la!
 
niliwa kubahatika kuingia mahabusu kahama kama mtuhumiwa miaka ya 2012.
sikuamini nilichoona wanaume wa kisukuma hawatofautishi chupi za kiume na kike!
wanavaa zozote bila hofu, hadi bikini!
sijui na wanakwake ni hivyo hivyo au la!
Shangaa kabisa haswa jiwe angavu
 
We unatufundisha tusipende au?
Mwanamke unayempenda unampigia simu na kama hazijibiwi lazima uhoji kwa ukali kwanini anakudharau. Sasa wewe endelea kukaa hivyo hivyo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…