Habari zenu wanajukwaa.
Mimi nina somo kwa wanaume, hivi usafi wa nguo ya ndani kila siku ni kwa mwanamke peke yake au?
Kiroja cha mwaka mwanamme mzima anasema kutokana na maumbile yetu sisi wanaume tukivaaa boxer hata siku tatu ni sahihi.
Niliposikia hivyo nilijiuliza swali nyinyi hamtoi uchafu wa mwili au vipi wenzetu hamhisi uvundo.
Haijalishi hali ya hewa ikoje.
Usafi unahitajika kila wakati jamani na si kwa girls tu, jitu lajitia umaridadi nje kumbe boxer nayo ni shida kufua kutwaa unasogoa kijiweni hata muda wa kusafisha nguo yako ya ndani ni shida.
Inasikitisha kwa kweli, kumbuka fangasi inakunyemelea muda si mfupi.
Other wise uwe na pants nyingi kama ni mvivu wa kufua kila siku.
Chagua wikiend ufue rundo lako.
Boxer moja then kurudia na hili joto letu la Dar ndo usiseme kitu pwiyaaaaa
Ni hayo tu please guys be smart in and out.