Mwanaume wanavunda sababu ya uchafu.

Ooooh mkuki kwa nguruwe!! Leo ndio mnajua kuna Mungu!!! Seriously!!
 
Tatizo sisi tukiongelea vibweka vyenu mnalalamika sana kwamba tunawaonea, kwo kuleni bati tu
Hilo kutoka kwako sishangai hata kidogo shemeji.

Mmepewa ushauri wa usafi, kuweni tu wasafi maana ni njema kwa afya zenu pia, haina haja ya kuanza malumbano.
 
Nashangaa! Siku zote mkuki kwa nguruwe.

Wacha tu watoe maneno machafu ila ujumbe umefika.
Wavulana wa humu wakiguswa basi utegemee matusi kumrudia mtoa mada, atashambuliwa hatari.
 
Na wanaume waongelee wanavyokutana navyo? hujaona mdada kakamilika kila kitu, ila akiachanisha miguu tu utadhani uko feri..tuacheni bana
 
Siku zote baadhi ya wanaume wakiambiwa kweli wanajifanya wakali. Sidhani kama mlioko humu jf wote ni wasafi hivyo kwa baadhi lazima ujumbe utawagusa kwa namna moja.

Kwa wale wachafu mbadilike.
 
Tafuta mwanaume anaejielewa mrembo, Acha kutoa povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…