Mwanaume wa ukweli ni yupi!!

Mwanaume wa ukweli ni yupi!!

DASA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
1,031
Reaction score
302
Yule ambaye anaweza kushinda majaribu ya ngono au anaweza kuvumilia miezi 2/3 kupita bila kufanya tendo au Yule ambaye hawezi kushinda majaribu, akionyeshwa kidogo tu tayari, au hawezi kuvumilia mwezi kuisha.

Yupi kati ya hawa ni mwanaume wa ukweli!!.
 
Kwanza awe mwanamme, awe na tabia za mwanaume, awe anafanya kazi yoyote ya halali ili kujipatia kipato halali, awe na familia na aitunze hata kama hajawahi kupata watoto au mke, wapo wanandugu na wazazi wanaomhitaji awasaidie na mwisho awe mwajibikaji na sio king'ast.
 
ni yule aliye umbwa na MUNGU awe mwanaume

Ungetulia zaidi kidogo, ungeweza jibu vizuri zaidi. najua unataka kumaanisha kwamba wote ni wanaume!. Lakini bado kuna cha kufikiria zaidi. Uanaume ni nini!!.
 
ni yule anaekupa furaha na kuona duniani mpo wawili tu, yy na ww.

Husninyo kwanza heshima yako. Hiyo tu inatosha!, Furaha hizo ni zipi. Kuna watu wanasema ili uwe mwanaume wa ukweli basi lazima utumie viungo vyako vizuri hata kama ni nje ya ndoa. Yaani lazima ziwe zinachaji haraka.
 
Kwanza awe mwanamme, awe na tabia za mwanaume, awe anafanya kazi yoyote ya halali ili kujipatia kipato halali, awe na familia na aitunze hata kama hajawahi kupata watoto au mke, wapo wanandugu na wazazi wanaomhitaji awasaidie na mwisho awe mwajibikaji na sio king'ast.

Yote ni sawa. Chukulie kila mmoja anafanya hivyo vyote. Lakini tofauti yao ni hiyo ambayo ipo kwenye mada!!.
 
Mwanamume wa kweli unaweza ku describe kutokana na vigezo, hisia na mtazamo wa mtu binafsi.

Kila mtu ana maneno yake kumuelezea mwanamume wa kweli.

Kwangu mimi mwanaume wa kweli ni yule:-

1. Anayejitambua na kujijua kuwa yeye ni mwanaume na aweze kuudhihirisha uanaume wake.
2.Anayejiheshimu na kuwaheshimu wengine.
3. Mtanashati, rijali na at least masculine.
4.Mwenye kutimiza majukumu yake as a man. (responsible)
5.Mkweli na mwaminifu, but in case akacheat basi atunze heshima na hata akikuchoka awe huru kukwambia ukweli
6. Muwazi na mkweli na mwepesi kuadmit makosa yake inapotokea amekosea.
7.Mtafutaji na muwajibikaji.
8. Very good in bed.
9.Mchangamfu,
10. Jasiri ready to take risks.
11.Asiyesuka nywele, asiyetoboa masikio na kuvaa hereni.
12. Mweusi (ha ha haaaa, weupe msinipige ngumi)
 
Yule ambaye anaweza kushinda majaribu ya ngono au anaweza kuvumilia miezi 2/3 kupita bila kufanya tendo au Yule ambaye hawezi kushinda majaribu, akionyeshwa kidogo tu tayari, au hawezi kuvumilia mwezi kuisha.

Yupi kati ya hawa ni mwanaume wa ukweli!!.
Pesa pesa pesa pesa na mchochomeo wa nguvu Kama nazi inavyokunwa
 
Mwanamume wa kweli unaweza ku describe kutokana na vigezo, hisia na mtazamo wa mtu binafsi.

Kila mtu ana maneno yake kumuelezea mwanamume wa kweli.

Kwangu mimi mwanaume wa kweli ni yule:-

1. Anayejitambua na kujijua kuwa yeye ni mwanaume na aweze kuudhihirisha uanaume wake.
2.Anayejiheshimu na kuwaheshimu wengine.
3. Mtanashati, rijali na at least masculine.
4.Mwenye kutimiza majukumu yake as a man. (responsible)
5.Mkweli na mwaminifu, but in case akacheat basi atunze heshima na hata akikuchoka awe huru kukwambia ukweli
6. Muwazi na mkweli na mwepesi kuadmit makosa yake inapotokea amekosea.
7.Mtafutaji na muwajibikaji.
8. Very good in bed.
9.Mchangamfu,
10. Jasiri ready to take risks.
11.Asiyesuka nywele, asiyetoboa masikio na kuvaa hereni.
12. Mweusi (ha ha haaaa, weupe msinipige ngumi)
Pesa je?
 
Namba 7 inahusu, km atakuwa mtafutaji na muwajibikai obvious pesa itakuwepo. Pia km ni wako mkishirikiana kutafuta hizo pesa inaleta raha zaidi, though lazima abakie kuwa responsible km mwanaume.
 
Testesterone na progesterone levels ndo zinazoamua kama ni mwanaume ama mwanamke.
 
Back
Top Bottom