Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,721
- 3,688
Yule ambaye anaweza kushinda majaribu ya ngono au anaweza kuvumilia miezi 2/3 kupita bila kufanya tendo au Yule ambaye hawezi kushinda majaribu, akionyeshwa kidogo tu tayari, au hawezi kuvumilia mwezi kuisha.
Yupi kati ya hawa ni mwanaume wa ukweli!!.
hivi kuna mwanaume wa uongo? yeyote mwenye jinsia moja ya kiume ni mwanamme, ila wanatofautiana tabia, mitazamo na fikra.
,
mfano:
1) kunawengine wana spidi ya kukimbia wengine hawana hiyo spidi
2) Wengine wakimya halafu wengine waongeaji sana nk.
wote hawa ni wanaume