nadhani wa dar mkuu ila wamikoani waombe radhiHahaha wabongo wote laini tu, si wamikoani si wa dar wote hawawezi hata kuvunja biscuit
Wabongo magari tuu ya washawasha tunaingia uvunguni
WA dar wamezidiHahaha wabongo wote laini tu, si wamikoani si wa dar wote hawawezi hata kuvunja biscuit
Sio lazma awe uyoo kuna nchi zngne watot wanajua silaha na namna ya kuztumia hasa nchi za magaidi na zenye migogoro ya kidin ama wenywe kwa wenyewHuyo dogo hapo ana bunduki?