ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Hata sijaelewa hapa kunachojadiliwa, napita kwanza.
Mbu ina maana hawa ulio wa cc
Asprin, Dark City, The Boss, Mr Rocky, Kaizer, @rr, Teamo, Eiyer, Fidel80
Ndio wanatumia nguvu nyingi?
weeeeeeeeeeee!!!!!!
wanawake tunapenda labda hao wanawake wa mtaaini kwetu ndo hampendi kabsa
sisi tunapenda tunahudumiana na tunajaliana na isitoshe tuna group letu la kimaendeleo
labda huko kwenu mnanuniana kutambiana ovyo usiseme wanawake wote tuko hivyo weeeeeeeeeeeeee!!!!
Sasa watafanyaje wakati wanaishi kwaajili ya maonyesho?
Mbu acha hizo bana, wanaume mtakimbia challenges mpaka lini? Hadhi yoyote yaweza kuwa yako bana, its just a matter of kujiamini.
Akikuambia"baby naomba laki 2 nikasuke" mwambie "baby mi napenda sana ukiachia nywele zako, uzuri wako wote unaonekana. Trust me baby, thats why I love you.".
....dahhh,
Kuishi maisha ya "kufurahisha/kuwakomoa" watu ni kujitafutia Msongo wa mawazo!
Wadada wa aina hiyo wapewe pole tu,
Sawa na wanaume wanaotumia nguvu nyingi ku- win penzi la mwanamke ilhali wanajijua kabisa sio wa hadhi yao.
View attachment 137131
Cc Asprin, Dark City, The Boss, Mr Rocky, Kaizer, @rr, Teamo, Eiyer, Kongosho, Fidel80 na wengineo njooni msaidie hawa !!!
Dark City ka confirm.....khaaa?!
Hebu watake radhi aisee...
Watakuja kukujibu wenyewe.
Dear ndio maana nikasema "wanawake wengi" sio wote. Ni kweli wapo wanawake katika mambo ya saccos na vikundi na kutafuta pesa ni mahiri sana. Lakini kwenye suala la mapenzi, wanawake wengi hampendani. Mnaharibiana sana kwa waume zenu. Kosa kubwa utakalofanya mtoto wa kike ni kumuweka rafiki yako wa kike karibu na mume/jamaa yako, lazima uandike maumivu.
Tized
Ni kweli mkuu suala la wanawake kutopendana wao kwa wao ni ukweli usio pingika kuna siku nilikuwa nimekaa kwenye daladala akaingia dada mmoja alikuwa mjamzito na anaonyesha alikuwa amechoka hakuna mwanamke aliyejaribu kumpisha kwenye siti akae ilibidi ninyanyuke nimpishe alishukuru sana maana alikuwa amechoka sana,
Sasa nikajiuliza inamaana hawa wanawake waliopitia hali hii hawamuonei huruma mwenzao?
Hata wale walioenda labour wanakuambia ni mara mia wazalishwe na mwanaume kuliko mwanamke mwenzao siju kuna nini mpaka hawapendani kiasi hicho
Dear ndio maana nikasema "wanawake wengi" sio wote. Ni kweli wapo wanawake katika mambo ya saccos na vikundi na kutafuta pesa ni mahiri sana. Lakini kwenye suala la mapenzi, wanawake wengi hampendani. Mnaharibiana sana kwa waume zenu. Kosa kubwa utakalofanya mtoto wa kike ni kumuweka rafiki yako wa kike karibu na mume/jamaa yako, lazima uandike maumivu.
Kwa taarifa yako hayo ndio maisha yaliyotamalaki katika mahusiano kwa sasa...
Wanawake wengi wameolewa si kwa kuwa ndio machaguo ya mioyo yao bali matamanio ya nafsi zao...
BTW ulivosema kwa taarifa yako imekaa ki awkward vile
ni kama vile vya wadada wanasutana sasa ndo anaanza kukwambia kwa taarifa yako na bla bla nyingine
Pengine hujazoea kuiona katika maandishi ya Kiswahili...
Vipi kama ningeandika "For your information", ?
Nilipoona neno maonyesho nilijenga picha ya kule viwanja vya sabasaba, kilwa road.
Back to topic.....wanawake wanataka waonekane sio....waonekane wako occupied....kwamba wao sio milupo....akiwa na mtu anataka ijulikane....yaani she no more a loose ball...she is taken...
Hakika ni wengi wao...sio wote...
Btw.....mbona wanawake wote hapa wanasema hawako hivyo? Hapa jf wameshuka mbinguni sio....