Mwanaume wa kweli ni yupi??

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
9,131
16,722
Mwanaume wa kweli ni yule ambaye yupo na mpenzi wake zaidi ya miezi 3 bila ya kumuuliza au kumshawishi kufanya mapenzi, huyo ndio mwanaume wa kweli, ambaye ni mimi tu nimebaki peke yangu duniani

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 
ni kweli kwa sababu pia ni shoga huez kua na demu miezi mi3 hujamuombaa papuchi kwanza demu atakuona si riziki mwenzio nmekubaliwa leo baada ya wiki nshaomba zigo na napewa na demu anaweka heshima
 
Mwanaume wa kweli
1.hajichubui ...eg karolite
2. Hajirembi(sio sharobaro) eg. Tight clothes ...Chibu perfume inamtosha
3. Hana mipasho
4. Kwenye Mambø yake mapenzi ni 1/9
5. Anauelewa Mkubwa hitaji la mpenziwe hata kabla hajaombwa hela
6.Hatumii vilevi au drugs abuse
7. Yuko update na jamii inayo mzunguka
8. Man of the people
 
fact
 
ni kweli kwa sababu pia ni shoga huez kua na demu miezi mi3 hujamuombaa papuchi kwanza demu atakuona si riziki mwenzio nmekubaliwa leo baada ya wiki nshaomba zigo na napewa na demu anaweka heshima
si mchezo hili povu
 
mwanaume wa kweli anashabikia simba
mwanamke wa kweli anashabikia yanga

cc espy
 
Sifa za mwanaume wa kweli

1) Ana uhusiano na Mungu
2)Ana uhusiano na wazaz wake vzr
3)Ana uhusiano na jamii iliyomzunguka,
4)Ana uhusiano na wafanyakazi wenzake vzr.

NB: ana msikiliza mpenzi wake,ana mjali mpenz wake,ana msaidia mpenz wake,msafi,ana kazi halali,hanywi pombe,havuti sigara,,hakeshi bar,hakeshi kwenye mipira,hapotez muda kwa masuala yasiyo na tija,ni mbunifu,ana jua kusaidia wenye matatizo,ana sikiliza wengi na hana dharau kwa yyte. Lazima atakua amevaa saa mkononi...

Haya nilibadilika baada ya kuoa
 
Mwanaume wa kweli

1-anakula fegi za kutosha na pombe million moja
2-ana nguvu
3-anamiliki michepuko million mbili
4-anavaa nguo oversize
5-akioga hapaki mafuta
 
Mwanamme wa kweli ni Yule ambaye Binti yake kamleta kumtambulisha mchumba wake nyumbani na Baada ya mazungumzo Mkwe mtarajiwa Anamfuata chemba Baba Mkwe na kumuomba Nauli ya kurudi town, na bila hiana wala maswali Anazama kwenye wallet na kutoa pesa ya Nauli na kumpatia Mkwe na kumuambia karibu tena nyumbani
 
Mwanaume wa kweli mcha mungu anajitambua mkewe anataka nn yuko mda wotr unapomuhitaji shida na raha ingawa kila mtu anakasoro yake mungu mbele mwanaume bora utampata kama huyu wang
 
Kwakwel mwanaume wa kweli ni yule anaetambua haja za mkewe na familia yake kwa ujumla na akazitimiza kwa wakat na hatakama wakat znahitajika ikishndikana hatakosa means ya kuresque situation na ikishndkana kabisa bas lazma awe na promising and a very good language ya kumfanya mwanamke na familia ihisi shida ishatatuliwa hatakama bado.....

Lakin Mwanaume wa kweli hawez kuwa Bashite wala Rais wa tano wa Tanzania
 
Back
Top Bottom