- Thread starter
- #81
Dada huku utaliwa na kuachwa kabla hujapost tangazo lingine utakuwa umeshaliwa siyo chini ya mara saba.
kila mtu na akili zake banaDada huku utaliwa na kuachwa kabla hujapost tangazo lingine utakuwa umeshaliwa siyo chini ya mara saba.
kila mtu na akili zake banaPole sana bro, kwa watu wanaojielewa na tuliohussle na kujua ugumu wa maisha hatuwezi kuwafanyia wanaume kitu kama hiko. Maisha ni kusaidiana huyo aliekuja kukudhihaki naweza sema ulimbukeni ulimjaa. kwa maisha ya sasa yalivo magumu huwezi kumuachia mwanaume alipe bills zote na kutunza familia.. kusaidiana ndio mpango mzimadah mwanamke wa kuanza nae maisha katika ujana wangu sikutaka swala kama hili hata kidogo na vijana mnaoanza maisha siwashaur katika hili japo kila mtu ana destination yake katika maisha
USHUHUDA.......mwanamke wa kuanza nae maisha aliwah kunifanya nifanye moja kati ya maamuz mabov sana katika maisha yangu,miaka zaid ya 17 iliyopita na mimi niliwah kupata mwanamke wa kuanza nae maisha na niliamua kuacha kuwa mtu wa kuluka na kila mwanmke ila dah nlichokipata ilikuwa ni bora kutooa yan kitu kidogo tuu yule mwanamke utaskia"unaongea nn wew wakat nimekukuta una vibukta vyako vya disko,na ulikuwa si kitu na umekuwa kitu ukiwa na mimi yan nishukulu sana we mwanaume vingnevo ungekufa na shat moja tuu"kuna siku nili panic sana yule mwanamama nlikuja kumwachia chumba mimi nikasepa jumla tena kwakuwa alikuwa hajui ndgu zangu wala napotekea nlipoondoka pale tabora hakuwah kunipata tena,japo niliondoka mazma nkizan nimemwachia chumba na vitu tulivyotafta.....lah chumba tuu kumbe alikuwa na ujauzito pia na mtoto alikuja nijua miaka ya 2011 baada ya kunitfta kupitia kwa rafki yangu aliekuwa anafanya kazi katika gari za dar-tabora
wanawake wa kuanza nao maisha from zero huwa wanakuja kuwa changamoto sana yan bora akukute upo sawa heshima itakuwapo
NB:sio wote lakn na yawezekana mtoa mada asiwe mmoja wao kat ya wanaokuwa changamoto

Hauruhusiwi cz ukionja utanogewaKuonja inaruhusiwa???
Hivi nyinyi mnaokatisha watu tamaa mnatokea wapi? Hebu kalale ukue.UKI HITAJI MWANAUME WA KUMALIZA NAYE MAISHA NIFUATE PM.....
Babu hiyo avatarUmepata mme mwenye sifa hizo. Ni Pm
Unatafuta Mume halafu unaanza kumuita Bro tena.Pole sana bro, kwa watu wanaojielewa na tuliohussle na kujua ugumu wa maisha hatuwezi kuwafanyia wanaume kitu kama hiko. Maisha ni kusaidiana huyo aliekuja kukudhihaki naweza sema ulimbukeni ulimjaa. kwa maisha ya sasa yalivo magumu huwezi kumuachia mwanaume alipe bills zote na kutunza familia.. kusaidiana ndio mpango mzima
But nikigindua anampango wakando au anahonga nje patachimbika![]()
Uwe na iman utafanikiwa mungu akubarikHauruhusiwi cz ukionja utanogewa
Haaaaaaaahaaaaaaaaaa we jamaa fala sana aseee umeyachoka? wakaandike wp ss?Haya matangazo.nishayachoka
Haaaaahaaaa huenda ikawa ndie hyu anaemuita bro eeeee!Unatafuta Mume halafu unaanza kumuita Bro tena.
dah mwanamke wa kuanza nae maisha katika ujana wangu sikutaka swala kama hili hata kidogo na vijana mnaoanza maisha siwashaur katika hili japo kila mtu ana destination yake katika maisha
USHUHUDA.......mwanamke wa kuanza nae maisha aliwah kunifanya nifanye moja kati ya maamuz mabov sana katika maisha yangu,miaka zaid ya 17 iliyopita na mimi niliwah kupata mwanamke wa kuanza nae maisha na niliamua kuacha kuwa mtu wa kuluka na kila mwanmke ila dah nlichokipata ilikuwa ni bora kutooa yan kitu kidogo tuu yule mwanamke utaskia"unaongea nn wew wakat nimekukuta una vibukta vyako vya disko,na ulikuwa si kitu na umekuwa kitu ukiwa na mimi yan nishukulu sana we mwanaume vingnevo ungekufa na shat moja tuu"kuna siku nili panic sana yule mwanamama nlikuja kumwachia chumba mimi nikasepa jumla tena kwakuwa alikuwa hajui ndgu zangu wala napotekea nlipoondoka pale tabora hakuwah kunipata tena,japo niliondoka mazma nkizan nimemwachia chumba na vitu tulivyotafta.....lah chumba tuu kumbe alikuwa na ujauzito pia na mtoto alikuja nijua miaka ya 2011 baada ya kunitfta kupitia kwa rafki yangu aliekuwa anafanya kazi katika gari za dar-tabora
wanawake wa kuanza nao maisha from zero huwa wanakuja kuwa changamoto sana yan bora akukute upo sawa heshima itakuwapo
NB:sio wote lakn na yawezekana mtoa mada asiwe mmoja wao kat ya wanaokuwa changamoto
Pole sana bro, kwa watu wanaojielewa na tuliohussle na kujua ugumu wa maisha hatuwezi kuwafanyia wanaume kitu kama hiko. Maisha ni kusaidiana huyo aliekuja kukudhihaki naweza sema ulimbukeni ulimjaa. kwa maisha ya sasa yalivo magumu huwezi kumuachia mwanaume alipe bills zote na kutunza familia.. kusaidiana ndio mpango mzima
But nikigindua anampango wakando au anahonga nje patachimbika![]()
kigezo cha awe na pesa hakipo?Hauruhusiwi cz ukionja utanogewa