Mwanaume wa kuanza nae maisha

Mwanaume wa kuanza nae maisha

Mtumishi wa mungu unachagua "" urefu ""
Ninashaka na ww ngoja umri ukifika 28 hahaha utatoa sifa hiyo ya urefu
 
Habari zenu wadau,
mimi ni binti wa miaka 27 natafuta mume awe mkristo mwenye Hofu kubwa ya Mungu.. Mtafutaji na mkarimu. Asiwe mkali au mkorofi.. miaka kuanzia 28 -35 mrefu kiasi.
Mimi naishi Dar, na elimu yangu ni kiwango cha degree.
alie tayari na mwenye nia tutafutane DM.

Asanteni sana.
Mi mkorofi hapo ndipo nimefeli
 
Duu....mi ni mpole na mcha Mungu dadaang...ila nina hasira...na nikikasirika mi huwa nashusha kipigo....kama utanivumilia njoo....mi mwalim wa sec....pia uwe na sauti ya kuimba...
 
Nashauri vyema mkawa mnaweka pcha maana mnaweza kosa bahati kumbe kuna mtu anahtaj vgezo ulvyo navyo. Mungu akubariki upate mme mwema c bora mme.
 
dah mwanamke wa kuanza nae maisha katika ujana wangu sikutaka swala kama hili hata kidogo na vijana mnaoanza maisha siwashaur katika hili japo kila mtu ana destination yake katika maisha

USHUHUDA.......mwanamke wa kuanza nae maisha aliwah kunifanya nifanye moja kati ya maamuz mabov sana katika maisha yangu,miaka zaid ya 17 iliyopita na mimi niliwah kupata mwanamke wa kuanza nae maisha na niliamua kuacha kuwa mtu wa kuluka na kila mwanmke ila dah nlichokipata ilikuwa ni bora kutooa yan kitu kidogo tuu yule mwanamke utaskia"unaongea nn wew wakat nimekukuta una vibukta vyako vya disko,na ulikuwa si kitu na umekuwa kitu ukiwa na mimi yan nishukulu sana we mwanaume vingnevo ungekufa na shat moja tuu"kuna siku nili panic sana yule mwanamama nlikuja kumwachia chumba mimi nikasepa jumla tena kwakuwa alikuwa hajui ndgu zangu wala napotekea nlipoondoka pale tabora hakuwah kunipata tena,japo niliondoka mazma nkizan nimemwachia chumba na vitu tulivyotafta.....lah chumba tuu kumbe alikuwa na ujauzito pia na mtoto alikuja nijua miaka ya 2011 baada ya kunitfta kupitia kwa rafki yangu aliekuwa anafanya kazi katika gari za dar-tabora

wanawake wa kuanza nao maisha from zero huwa wanakuja kuwa changamoto sana yan bora akukute upo sawa heshima itakuwapo

NB:sio wote lakn na yawezekana mtoa mada asiwe mmoja wao kat ya wanaokuwa changamoto
 
Dada huku utaliwa na kuachwa kabla hujapost tangazo lingine utakuwa umeshaliwa siyo chini ya mara saba.
 
Habari zenu wadau,
mimi ni binti wa miaka 27 natafuta mume awe mkristo mwenye Hofu kubwa ya Mungu.. Mtafutaji na mkarimu. Asiwe mkali au mkorofi.. miaka kuanzia 28 -35 mrefu kiasi.
Mimi naishi Dar, na elimu yangu ni kiwango cha degree.
alie tayari na mwenye nia tutafutane DM.

Asanteni sana.
Kuonja inaruhusiwa???
 
Back
Top Bottom