Vp mkuu mbona unapenda kuharibu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji144] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kivip tena jamani, hafi mtu hapaUnataka tukufwe wote ama!!!! Tabia ya kujitoa mhanga sio nzuri
PoleHaya matangazo.nishayachoka
Kwenda uko nani shangazi hako! [emoji23] [emoji23] [emoji23]nina wasiwasi na hii ID lol!![emoji30] [emoji30] [emoji30]..........Huyu kama siyo yule shangazi yangu jje's sijui!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asante kwa kunisaidia nilikua napata kigugumiziMbona usemi awe rijali?
Ulikua mlimani kwa muda gani? LolWw ndiye niliyekuona kwenye maono wakati niko mliman namwita Bwana
Umekumbuka jambo la muhimu sana kwa kipi di iki [emoji4]Asiwe na vyeti feki
Uwiii haupigi virungu na mikanda?mm afisa wa JWTZ........
SanaNaona mmeamua wakina Dada hahaha hahaha maisha magumu
Huku kwema mkuu habr ya ulipoKwema lakini hukooo
Wewe unahisi nimeharibu au hujaelewaVp mkuu mbona unapenda kuharibu
Nilikuwa sirin na bwana kwa mda usiojulikana maana mahesabu ya mbingun siyo ya DunianUlikua mlimani kwa muda gani? Lol
Oowh!!Watu wenye nia ya thati tunakosa nafasi kwa ajili ya dini tu! Inaniuma sana!