Mwanaume wa kuanza nae maisha

Mwanaume wa kuanza nae maisha

Madhara ya kumpenda mtu bila kumuona ni makubwa sana.. Ina maana hapa lengo mpaka litimie lazima muonane.. Akikutosa utakuja tena kuandika huku
Nadhani muhimu ni kuanza na urafiki wa kawaida huku tukichunguzana kama tunawezana
 
Katika awamu hii ya Dr. JPM naona mabinti wengi wanahangaikia sana familia.

Vipi mlijisahau mkidhani mambo yataendelea kuwa rahisi eeee???
 
Watakuja wengi sana lakini jaribu kumshirikisha MUNGU utapata aliye chaguo sahihi coz MUNGU wetu ni wa upendo hapendi kuona mtoto wake apotee
nina wasiwasi na hii ID lol!! ..........Huyu kama siyo yule shangazi yangu jje's sijui!!
 
Habari zenu wadau,
mimi ni binti wa miaka 27 natafuta mume awe mkristo mwenye Hofu kubwa ya Mungu.. Mtafutaji na mkarimu. Asiwe mkali au mkorofi.. miaka kuanzia 28 -35 mrefu kiasi.
Mimi naishi Dar, na elimu yangu ni kiwango cha degree.
alie tayari na mwenye nia tutafutane DM.

Asanteni sana.
Mbona usemi awe rijali?
 
Ww ndiye niliyekuona kwenye maono wakati niko mliman namwita Bwana
 
Back
Top Bottom