Wewe ndie unayepaswa kusaidiwa kwani mwenzio alikuwa anatafuta pa kutolea kiu yake kipindi mkiwa semina halafu wewe unataka kujenga kibanda!! Unataka mkewe amuweke wapi!!???
mmmmh inaitaji moyo kwakwelisio kila mtu anapenda kuwasiliana kila wakati hata kama anakupenda
jifunze kutambua aina tofauti za watu.. while you want him to live like you... he may be praying day and night for you to live like him. Binafsi silazimiki kuwasiliana na wewe kila wakati ujue nakupenda
Nipo kwenye mahusiano zaidia ya miaka 15 na si lazima niwasiliane na la'aziz kila wakati, but her special place in my heart is next to none
nenda kamuone anaishije ili umjue
Wanaume Wengine Noma, Shosti Na wewe ukionyeshwa smile tuu unasema he is the one, wengi waongo, huyo kama ninge kua wewe angenisikia redioni, hakuna cha cm wala Salam, atakuchimba roho huyo Mpaka umjue mchuchu wa Bibi yako yako alikua nani...