Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Yaani hawa ilitakiwa wawe wameshatolewa sadaka machimboni tu watu wapate pesa hawana thamani uraiani
Vijana wa mbezi beach hao ,Wakishakula kitimoto kwa Mchina au Juliana unawakuta Top garage ....au T square
Hahaha sawa mkuu ,![]()
hii mkoani mkuu. mjini kuna mtu ananyoa 'panki' kama huyo jamaa mwenye tshirt ya orange kweli?