Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Umenipiagiaga lini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazingua sana, mpaka nikawa nawaza labda ni mwanaume mwenye ID ya kike!
Umenipiagiaga lini??
Sent using Jamii Forums mobile app
fanya hvyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nauliza nipatiwe majibu hayoSakayo nimekumbuka vidio kolu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi huwa wanafanikiw akabisaa kutengeneza hayo mhausiano imara?!!!
Like how unaweza kumchukulia seeious[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hahaha hahaha hahahaSakayo nimekumbuka vidio kolu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi huwa wanafanikiw akabisaa kutengeneza hayo mhausiano imara?!!!
Like how unaweza kumchukulia seeious[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Msalimie sana, mwambie vitenge ninapokea.Hahaha hahaha hahaha
Niache na video kolu wanguuu
Mapenzi ni hisia
Ndio mkuu leo tupo na manyambizi nyumbani kwao, tegemea burudani na maajabu mengimeLeo tunakipiga sio ???
Sawa auntieMsalimie sana, mwambie vitenge ninapokea.
Ukiona mwanamke anaandika sana, nyuzi za mapenzi hasa akitoa nasaha za maana, afu asipotee jukwaani mwaka wa kwanza yupo, mwaka wa pili yupo tu, jua ni kimeo huyo..!Mambo zenu.
Unajua nimekaa nikawaza sana kwanini yanatokea haya unajenga feelings kwa mtu hamjaonana na kweli unamadai kuwa unamwanaume ukiulizwa umewahi muona nope .
Ila tunachatigi how jamani acheni kupotezeana muda.
Unakuta mtu kapenda picha zako kwenye mitandao ya kijamii at the end of everything unakuta unaamini kuwa iko siku utamwona na kuwa naye.
Hujali hata anamke au anademu wewe kukaa nakumuota tu.
Asilimia kubwa huyo mtu kama hayupo karibu yako ni ngumu mtu akate tiketi aje kukuona mtu asiyemjua.
1.Labda kaishiwa mademu
2.Labda naye anataka kuwa na urafiki wa far ila kweli sioni kama unaweka akilini kila kitu anachosema kuwa atakufanya atafanya.
3.Kila mara nahisi kama kunaupotezaji wa muda eti mwanaume kakuziria eti unalia na kumuwaza ukiulizwa eti john .
John mwenyewe ni video calls tu.
Kweliiii.
Je na nyie mnalionaje hili kwa sababu mimi naona kama hizo ni waste of time kudeal na mapenzi ambayo ni kapa.
Hunawahi kumuona mtu halafu eti uko interested???
Inakuja kweli??View attachment 1059088
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona wanaume wanajifanya kuchambua wanawake ujue huyo ni mwanaume suruali ndio wenye mudaUkiona mwanamke anaandika sana, nyuzi za mapenzi hasa akitoa nasaha za maana, afu asipotee jukwaani mwaka wa kwanza yupo, mwaka wa pili yupo tu, jua ni kimeo huyo..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona wanaume wanajifanya kuchambua wanawake ujue huyo ni mwanaume suruali ndio wenye muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasura mbaya kama uchi ndio maana mfupi kama brashi ya viatu.Pita mbali sana, cheap mind kama wewe kukuhonga bora nikapige puchu afu hiyo pesa nikapige liquid nimuunge mkono Pierre..!
Sent using Jamii Forums mobile app