Mwanaume, usipende mapenzi ya mteremko

Unaingiaje kwenye nyumba ya mwanamke wakati hata anayelipa Kodi humjui

Ukiwa unayejitambua, huwezi kuthubutu kukubali kwenda huko
Wapo baadhi wanaishi kimazoea, pale changamoto inapokuja kujitokeza ndipo akili zinawarudi.
 
Wapo baadhi wanaishi kimazoea, pale changamoto inapokuja kujitokeza ndipo akili zinawarudi.
Siku hizi kuna operation maalumu ya kuwavua ubingwa vijana wa Kiume kupitia monde za bure, mafumanizi fake n.k

Kwahiyo vijana wamakinike
 
Baelezee 😛
 
Siku hizi kuna operation maalumu ya kuwavua ubingwa vijana wa Kiume kupitia monde za bure, mafumanizi fake n.k

Kwahiyo vijana wamakinike
Kupitia ukurasa huu, wanaweza kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…