Natafuta WA kuzaa nae mwanamke ila naona vigezo vya umri na urefu nimeshindwa. Niko above 40 na urefu wangu ni 1.57 japo napenda wanawake warefu. Vigezo vingine nakidhi na pia napenda Sana kuwa responsible Dad. Nina watotoHabari zenu jmn..
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari
Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi- mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa
Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,
Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40(below 40 basi uwe mtu unayejielewa&unaelewa maisha),
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu,mweupe/maji ya kunde, uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,
Kielimu minimum ni degree,
Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Mkoa Dar,Moro/Dom
Kama utapenda karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com
Nilishatangaza Mpwa hapa kuwa natafuta mwanamke wa kuzaa nae mara nyingi sana, ila kwa vigezo vyake huyu simfaiWakuu
Mpeni baraka zenu apate hitaji la moyo wake.
Mambo ya gubu kwenye issues kama hizi ni utoto
Punguza umalaya.Natafuta WA kuzaa nae mwanamke ila naona vigezo vya umri na urefu nimeshindwa. Niko above 40 na urefu wangu ni 1.57 japo napenda wanawake warefu. Vigezo vingine nakidhi na pia napenda Sana kuwa responsible Dad. Nina watoto
Endelea kusikilizia bro usitoke hapa, unaweza bahatika mashart yamelegezwa hadi imekua "awe tu na sperm"Nilishatangaza Mpwa hapa kuwa natafuta mwanamke wa kuzaa nae mara nyingi sana, ila kwa vigezo vyake huyu simfai