Huyo akikaa karibu yetu twaweza jisahau tukamchezea makalioHabari zenu Waungwana,
Kuna jambo nimeliona jana saloon hata sijapenda, nimekwenda kufanya body wax na kutoa nyusi
kufika namkuta mkaka ameshikilia nyusi lina guna tuu mmh,mmh, hakuishia hapo anafanya waxing mikononi na miguuni, haja elekea kama shoga ila kwa tamaduni zetu za kibongo nimeona sio sawa kabisa, alipomaliza nikamuuliza yule dada huyu mzima yani hatuja mkosaa?
Kasema hua anakuja yeye na rafiki zake kila mwezi kufanyiwa facial na waxing ivi kweli wanaume wengine wamefikia hapo? naelewa akifanya facial ila sio kutoa malaika mwanamme mzima,kama wapo wenye hii tabia jamani acheni sio vizuri sasa mwanamke atoe malaika mwilini na wewe mwanamme utoe kutakua na tofauti gani?
kwa mataifa mengine ni sawa ila kwetu sisi apana idadi ya wanaume sipendi kuona inapungua please ..
hahahahahha baby mbona mie hizi zangu hujawahi niambia nitoe?ujue huyo si mwanaume tena
Mkuu, na wewe inaonyesha ni mchicha. Maana sio kwa comment hii iseeeLazima watanzania tujifunze na tufahamu Uhuru wa kujiamulia ili uishi maisha yako unavyotaka,...inabidi tujue mambo matatu katika dunia kuna kuzaliwa,kuishi na kufa....wasia wangu msiwe washamba wa kushanga shangaa kila kitu,kila mtu ana maisha yake ni vizuri kuishi kwa furaha kufanya kile unachokitaka kabla mauti hayajakufika....."wekeni hakiba ya maneno"
Tatizo wanawake wengi wa kiafrica wamekaririshwa ili uwe mwanaume inabidi uwe rafurafu na ujiachie kizembezembe,ikumbukwe urembo ni haki la kila binadamu bila kutegemea jinsia,eti ninuke kikwapa kisa Mimi mwanaume!Habari zenu Waungwana,
Kuna jambo nimeliona jana saloon hata sijapenda, nimekwenda kufanya body wax na kutoa nyusi
kufika namkuta mkaka ameshikilia nyusi lina guna tuu mmh,mmh, hakuishia hapo anafanya waxing mikononi na miguuni, haja elekea kama shoga ila kwa tamaduni zetu za kibongo nimeona sio sawa kabisa, alipomaliza nikamuuliza yule dada huyu mzima yani hatuja mkosaa?
Kasema hua anakuja yeye na rafiki zake kila mwezi kufanyiwa facial na waxing ivi kweli wanaume wengine wamefikia hapo? naelewa akifanya facial ila sio kutoa malaika mwanamme mzima,kama wapo wenye hii tabia jamani acheni sio vizuri sasa mwanamke atoe malaika mwilini na wewe mwanamme utoe kutakua na tofauti gani?
kwa mataifa mengine ni sawa ila kwetu sisi apana idadi ya wanaume sipendi kuona inapungua please ..
Hujanifahamu Mkuu,kama umenifahamu usingelitoa maoini haya,Shoga sio Shoga kila mtu anaishi vile anavyotaka,hajawahi kukuomba pesa wala kuomba ushauri wowote kutoka kwako,kwanini upoteze muda wako kushangaa shangaa yasiyo kuhusu,..."Life is to shot for that",pengine na yeye anakushangaa wewe kwanini hunyoi nyusi....Mkuu nimekuelewa anafanya kwa raha zake na wala kusema hapa hakumfanyi yeye kuacha kutoa malaika na nyusi,ila kwa mtanzania au nimeona ajabu na sijategemea kumuona anafanya hayo angekua shoga ningejua ni sawa wala asinge nishughulisha sana ila huyu ni mwanamme amekazana ndio lilonisgangaza.
Mkuu, na wewe inaonyesha ni mchicha. Maana sio kwa comment hii iseee
Hujanifahamu Mkuu,kama umenifahamu usingelitoa maoini haya,Shoga sio Shoga kila mtu anaishi vile anavyotaka,hajawahi kukuomba pesa wala kuomba hushauri wowote kutoka kwako,kwanini upoteze muda wako kushangaa shangaa yasiyo kuhusu,..."Life is to shoot for that",pengine na yeye anakushangaa wewe kwanini hunyoi nyusi....
"Lazimatujenge utamaduni wa kuheshimu watu wangenine vipi wanataka kuishi"
Mkuu kuna kabila linaloitwa Waadabe ambalo linapatika katika Jangwa la Sahara,hili kabila wanaume wanajipamba kwa "make up" ilikuvutia wanawake,hapa kwetu Kabila la wamasai wanaume ndio wanaojipamba wanavaa herini wanafuga nywele refu wakati wanawake wao wanakata Nyele zote au wanakuwa vipara kabisa...
Acha kushangaa shangaa Mkuu,shughulikia yako,ukipoteza muda wako kwa kushangaa nini watu wangine.,Time is running fast,...there is no timef or that..."
View attachment 862172View attachment 862173
Picha ya Juu Mmasai chini Waadabe
Hata mfano mimi mchicha,...wewe unakuhusu nini !?? ni maisha yangu,...huwezi kunifahamu Mkuu,inategemea unaishi dunia gani,mimi na wewe tunaishi na tunafahamu mambo tafauti..Mkuu, na wewe inaonyesha ni mchicha. Maana sio kwa comment hii iseee
Naona imekukita mkuu,polee wala usiumie wanaojisikia kuchangia wanachangia weye ulokereka pita mkuu bila kujikera,mengine wacha yakupite sipendi ujikera kwa hisani yako.Hujanifahamu Mkuu,kama umenifahamu usingelitoa maoini haya,Shoga sio Shoga kila mtu anaishi vile anavyotaka,hajawahi kukuomba pesa wala kuomba hushauri wowote kutoka kwako,kwanini upoteze muda wako kushangaa shangaa yasiyo kuhusu,..."Life is to shoot for that",pengine na yeye anakushangaa wewe kwanini hunyoi nyusi....
"Lazimatujenge utamaduni wa kuheshimu watu wangenine vipi wanataka kuishi"
Mkuu kuna kabila linaloitwa Waadabe ambalo linapatika katika Jangwa la Sahara,hili kabila wanaume wanajipamba kwa "make up" ilikuvutia wanawake,hapa kwetu Kabila la wamasai wanaume ndio wanaojipamba wanavaa herini wanafuga nywele refu wakati wanawake wao wanakata Nyele zote au wanakuwa vipara kabisa...
Acha kushangaa shangaa Mkuu,shughulikia yako,ukipoteza muda wako kwa kushangaa nini watu wangine.,Time is running fast,...there is no timef or that..."
View attachment 862172View attachment 862173
Picha ya Juu Mmasai chini Waadabe
Ivi kuna sehemu nimesama mwanamme lazima anuke jasho au asioge? ebu rudia tena mkuu usisome kwa ajili ya kujibu tuu,soma uelewe,mwanaume mchafu wa nini? au umeona kutoa nyusi ni usafi kwa mwanamme na kufanya waxing? haya sawa nimeshakuelewa wala hamna neno.Tatizo wanawake wengi wa kiafrica wamekaririshwa ili uwe mwanaume inabidi uwe rafurafu na ujiachie kizembezembe,ikumbukwe urembo ni haki la kila binadamu bila kutegemea jinsia,eti ninuke kikwapa kisa Mimi mwanaume!
Rubbish
Mkuu sijakereka,niko hapa kueleweshana,mtazamo wetu watanzania ni mtizamo wa njia moja,kumbuka hatuwezi sote kuwa sawa,...nilichokiona mimi Watanzania tuna upeo mdogo sana wa kuheshima watu wengine na maisha yao,,tunapenda kushangaa na kukandia wengine bila ya sababu za msingi..Naona imekukita mkuu,polee wala usiumie wanaojisikia kuchangia wanachangia weye ulokereka pita mkuu bila kujikera,mengine wacha yakupite sipendi ujikera kwa hisani yako.
Tatizo wanawake wengi wa kiafrica wamekaririshwa ili uwe mwanaume inabidi uwe rafurafu na ujiachie kizembezembe,ikumbukwe urembo ni haki la kila binadamu bila kutegemea jinsia,eti ninuke kikwapa kisa Mimi mwanaume!
Rubbish
Lazima watanzania tujifunze na tufahamu Uhuru wa kujiamulia ili uishi maisha yako unavyotaka,...inabidi tujue mambo matatu katika dunia kuna kuzaliwa,kuishi na kufa....wasia wangu msiwe washamba wa kushanga shangaa kila kitu,kila mtu ana maisha yake ni vizuri kuishi kwa furaha kufanya kile unachokitaka kabla mauti hayajakufika....."wekeni hakiba ya maneno"
Hilo ni jiwe kuu lilirushwa gizani mzee, naona limekupata tena ni kichwani kabisa.Hata mfano mimi mchicha,...wewe unakuhusu nini !?? ni maisha yangu,...huwezi kufahani Mkuu,inategemea unaishi dunia gani,mimi na wewe tunaishi na tunafahamu mambo tafauti..
Wanaume wanazidi kupungua aiseeHata mfano mimi mchicha,...wewe unakuhusu nini !?? ni maisha yangu,...huwezi kunifahamu Mkuu,inategemea unaishi dunia gani,mimi na wewe tunaishi na tunafahamu mambo tafauti..
Hilo nalo Iinawezekana mkuu,labda na mimi ndio hiyo type ya kujipamba kama demu,...lakini ni masiha yangu napenda niishi hivyo sasa wewe inakuuma nini!??au inakuhusu nini!??..Sio bure utakuwa ww type iliyoongelewa kwenye mada!...
Mkuu mimi mwanamme wa shoka,sialikwi hata majumbani kwa watu jinsi wanavyonigopa nitawapitia wake zao,sema nimelelewa kutoshangaa mambo yasionihusu,kuheshimu uhuru wa mtu na mambo anayoyafanya...Wanaume wanazidi kupungua aisee
hahahaha si unaona tabia ya watanzania ilivyo,kwahiyo mkuu umeshaniweka katika kunda la mabwabwa,....acha kuwa na dhana nazo ni tabia ya kushangaa shangaa...Hilo ni jiwe kuu lilirushwa gizani mzee, naona limekupata tena ni kichwani kabisa.
Jitahidi usitumie indirect language, kama uko huru kwa kile unachokifanya au maisha unayoishi, why unaonyesha kuficha ficha?