Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 2,881
- 4,885
- Thread starter
-
- #41
Mkuu lugha hiyo wengine tuna 'aleji' na hiyi lughaIf a fella is about his business, and you're on his case, you're the one with issues man.
Umesema INAMUNG'UNYWA mara unasema kuna dhambi gani WAKILA, kumbe haya maneno siku hizi yana maana sawa...
Any way vipi mkuu wew huwa unamung'unya?
Juzi tu hapa mlikua mnavamiwa na majambazi huko mikoani tukawa tunahuzunika wote, maaskari waliotakiwa kuwatetea wameua watu wawili Singida, tukahuzunika wote na kuoneshana udhaifu wa askari waliokuepo eneo la tukio.Hizi tuhuma zinakwenda moja moja kwenu wanaume wa Dareselama...
Hii tabia ya kulamba chocolate imekaaje? yani nauliza kidume na mindevu yako umeng'ang'ana na chocolate inakuaje yani..
Hii tabia inezidi sana Dar mpaka inakera aisee, habari ya kulamba lamba muwaachie wanaopaswa kufanya hivyo... Mnatuaibisha vidume wa kweli.
Cornwasema wanalamba nn vile ?
Ulitaka ameze bila kulamba..unajuaHizi tuhuma zinakwenda moja moja kwenu wanaume wa Dareselama...
Hii tabia ya kulamba chocolate imekaaje? yani nauliza kidume na mindevu yako umeng'ang'ana na chocolate inakuaje yani..
Hii tabia inezidi sana Dar mpaka inakera aisee, habari ya kulamba lamba muwaachie wanaopaswa kufanya hivyo... Mnatuaibisha vidume wa kweli.
mama mpaka huku huwa unafika?
shikamoo
Safi sana.Mbona nyie mnakula miwa hatuwasemi, unakuta MTU yupo na muwa mrefu saizi yake, acheni ufala , Mimi kikipita kile kigari cha Azam lazima ninunue Ice cream
MMU"huku" wapi?
Marahaba.
Maradhi ya Moyo na Utu
Jukwaa la Mapenzi, Mahusiano na Urafiki (MMU)Maradhi ya Moyo na Utu