Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 2,880
- 4,883
mkuu ni aibuwasema wanalamba nn vile ?
mkuu yani ni aibu aisee alaf unalikuta jidume kabisa linatoa sauti kama jogoo kabanwa na mlango huku lol pop iko mdomoni...Af unawakuta wako barabaran wanatembea kbs na lolpop aisee ukiuangalia mdomo umekua mwekundu utadhan amepaka lepstk ya dadaake
Mbadilike aisee mnatupaa aibuuu hiii sasa cjui na dada zenu watanyonya nn
Sometimes na doubt sana mtu WA ivyo. Unalikuta ukiliuliza linajib et Swag. .. shenzi sanamkuu ni aibu
je wala ubuyumkuu yani ni aibu aisee alaf unalikuta jidume kabisa linatoa sauti kama jogoo kabanwa na mlango huku lol pop iko mdomoni...
ndo nini sasa
je wala ubuyu?Afu utakuta linajiona mjanjaa na vijinsi vya kubanaa na kidukuu.
Wanaume wengi wa hivyo ni wale wa uswahilini, mtoto hamjui baba akee
mkuu acha kutushusha wanaume wa DSM hao unaozungumzia sio wanaume unazungumzia vivulana vya sekondari na vicheza dance....
wanaume wa DSM tunajiheshimu
mwisho wa siku unasikia mtoto sio rizkiAfu utakuta linajiona mjanjaa na vijinsi vya kubanaa na kidukuu.
Wanaume wengi wa hivyo ni wale wa uswahilini, mtoto hamjui baba akee