Mwanaume unatembeaje barabarani una lamba chocolate?

Af unawakuta wako barabaran wanatembea kbs na lolpop aisee ukiuangalia mdomo umekua mwekundu utadhan amepaka lepstk ya dadaake

Mbadilike aisee mnatupaa aibuuu hiii sasa cjui na dada zenu watanyonya nn
 
mkuu yani ni aibu aisee alaf unalikuta jidume kabisa linatoa sauti kama jogoo kabanwa na mlango huku lol pop iko mdomoni...

ndo nini sasa
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom