Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,809
Wake zetu mbona wanapesa na maisha yanasonga hakuna cha kushangaza hata kitandani staili yoyote nayotaka ananipa na akinikosea hata machozi yaramtoka.Mwanaume unamchukuliane mwanamke huyuuu??
Mwanamke msomi, mwenye kazi nzuri
Mwenye assets labda nyumba kiwanja
Labda biashara 1 au 2
Kwa kifupi mwanamke ambaye amefanikiwa kiuchumi
Anayepambana kutafuta pesa asiyetegemea Sanaa hela za kupewa pewa, ikitokea kapewa basi ni zawadi ila anayamudu maisha
Kama ana heshima, ametulia unaweza kumuowaaa???
Vipi kama atakuwa kakuzidi kipato?
Sent using Jamii Forums mobile app