Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,362
- 25,240
Ahsante kwa kujitajidi kujibu...kama huna mchumba je bado hujafikisha umri wa kuwa nae au pengine kama ilivyo kwa wengine labda kuna tabia flani ambazo zipo mtu anapoapproach akiziona ghafla ana ondoka au mvuto n.k...maswali yako magumu sana ila nitakujibu maana ahadi ni deni
kuhusu kuwa na mchumba sina ni kwanini hata sijui sijapata tu
incase nikiolewa sitochepuka kuchepuka mimi naona ni ujinga especially kwa mwanamke.