Mwanaume ulie wahi kua na mpenzi, au mke zaidi ya mmoja pita hapa mnipe busara zenu.

Shozylin

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
297
607
Ingependeza uzi huu uchangiwe zaidi na wanaume wenzangu maana naimani Hawa wanajua stuation ninayo pitia,

Wanaume wenzangu ipo hivi, mm mwenzenu ni kijana above 27 yrs, Nina mke na mtoto mmoja.

Nina biashara yangu ambayo hua naisimamia mm mwenyewe, biashara niya kitambo lait Kama ningeitumia Kama kigezo Cha kula totozi, pengine nisinge kua nayo.

Kuna mdada mmoja ni mpambanaji sana alitokea kua rafiki angu akanipenda saana na kutamani kua mme wake, ni mdada mrembo wa sura na shape. Niliona anavo hangaika kunijali nikaamua nimrahisishie kazi nikamwambia kwa uliyo fanya haya niwazi kuwa unanipenda nikweli akajibu ndiyo akaniweka wazi.

Skumwambia siku hiyo Wala skumpa nafasi ya kuwa na mm kwenye mahusiano, nikaona huyu binti ni vyema ajue kua tayari Nina mke nikaamua kumwambia,

asee alinilaumu kwanini nimemuumiza nikashangaa imekuaje wakati mm skumtongoza na nimeamua kumweka wazi, nikamwambia nisamehe lakini nimeona ni Bora nikwambie ukweli kuliko ningefanya ambacho ningetamani kwako kukufanyia Kisha kukuacha.

Nisingependa kumuongelea wife humu, lakini inanilazimu nimwongelee kwa ufupi Sana walau mtambue nini kinacho nisibu., Lakini kifupi wife ni moja kati ya wanawake walio sahau majukumu yao baada ua kuwa tayari wamewekwa ndani, nafahamu mnaelewa.

Nimekua mwalimu wake mke wangu nimemfundisha na kumuonya na kumtishia Kama ataeleea kujisahau sitosita kuoa mke wa pili. Japo ni vitisho tu siwezi kuoa mke wa pili.

Turudi kwa yule binti, huyu binti tulipotezeana baada ya kuambizana ukweli sjui alinipa nini ila kutokana na upambanaji wake nikajikuta naanza kumpenda taratibu hatimae nikaruhusu kumpa nafasi, nikaanza kazi ya mrudisha nikafanikiwa japo hatujafikia hatua ya kulana.

Sasa kwake imekua ni kinyume na awali, awali yeye alinipenda ila kwasasa mm ndio nampenda, zilipita siku mbili bila kuwasiliana na sio kawaida.

leo baada ya kuonana nikamuukiza akanambia atanipa sababu kwanini yupo kimya, hatimaye akaniandika sms inasema.

"Kiukweli nakupenda Sana na niliwahi kukupenda kabla, lakini samahani kwa hili naomba nikwambie ukweli nimejaribu kurudisha moyo wangu Kama ilivyo kua awali kabla ya kuniambia una mke lakini nimeshindwa, sipendi kuwa mbali na wewe, naomba tubaki marafiki, nashindwa kukupenda Kama awali tayari wewe sio fungu langu"

Baada ya kupokea hiyo sms sikuijibu ni siku moja tayari imepita, wakuu chanzo cha kutoa nafasi kwa huyu bidada ninkutokana na wife kuto timiza majukumu yake vizuri.

Najiuliza moyoni, in case imetokea huyu binti akawa bi mdogo itakuaje .? Mwanangu si ndo itakua mwanzo wa kulelewa na mzazi mmoja kwa jinsi alivo mama ake lazima aondoke tu. Je ilitokea kabeba ujauzito wangu nitaweza kuitunza siri, je ikifichuka.

Oya ni nomaa mkuu,,, bahati mbaya wengine ni wakimya Sana nimekosa pa kusemea Jambo hili nikaona msaada pekee wa ushauri nije nilisemee humu tupeane busara.

ebu wanaume wenzangu mlio na mipango ya kando, mke mdogo au michepuko ebu njooni mtoe busara zenu tahadhali nimekapenda haka karembo hata kula tu mbususu yake kananitaka nitumie akili mingii kiasi hiki.!?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkeo naye alikuwa kama huyo , so kwa huyo mpya usitegemee makubwa sanaa. Title ikibadilika kutoka mpenzi, girlfriend, sex mate to Wife mengi yanabadilika pia.

Hiyo sms aliyokutumia ni mbinu na mtego tu, upapalike uingie ktk kingi ujilipue na ahadi kemkem.

Huyo mwanamke alijua fika kuwa haupo single, wanawake wapo very smart, ni wanusaji wazuri ktk ishu za hisia na mahusiano.

Playing hard to catch game ndio alofeli mwanzo, now anarekebisha makosa yak, asionekane responsible kuvamia mume wa mtu bali alishawishiwa.

Kuwa na nguvu kuliko hisia zako, create gape utaona mitiririko wake.
Usimtafute,usiyachochee mapenz kwake kama kasema hana yamepotea strictly rudi ktk biashara zaidi...
 
Mkuu ushauri mzuri, Shukrani Sana.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ingependeza uzi huu uchangiwe zaidi na wanaume wenzangu maana naimani Hawa wanajua stuation ninayo pitia,

Wanaume wenzangu ipo hivi, mm mwenzenu ni kijana above 27 yrs, Nina mke na mtoto mmoja.

Nina biashara yangu ambayo hua naisimamia mm mwenyewe, biashara niya kitambo lait Kama ningeitumia Kama kigezo Cha kula totozi, pengine nisinge kua nayo.

Kuna mdada mmoja ni mpambanaji sana alitokea kua rafiki angu akanipenda saana na kutamani kua mme wake, ni mdada mrembo wa sura na shape. Niliona anavo hangaika kunijali nikaamua nimrahisishie kazi nikamwambia kwa uliyo fanya haya niwazi kuwa unanipenda nikweli akajibu ndiyo akaniweka wazi.

Skumwambia siku hiyo Wala skumpa nafasi ya kuwa na mm kwenye mahusiano, nikaona huyu binti ni vyema ajue kua tayari Nina mke nikaamua kumwambia,

asee alinilaumu kwanini nimemuumiza nikashangaa imekuaje wakati mm skumtongoza na nimeamua kumweka wazi, nikamwambia nisamehe lakini nimeona ni Bora nikwambie ukweli kuliko ningefanya ambacho ningetamani kwako kukufanyia Kisha kukuacha.

Nisingependa kumuongelea wife humu, lakini inanilazimu nimwongelee kwa ufupi Sana walau mtambue nini kinacho nisibu., Lakini kifupi wife ni moja kati ya wanawake walio sahau majukumu yao baada ua kuwa tayari wamewekwa ndani, nafahamu mnaelewa.

Nimekua mwalimu wake mke wangu nimemfundisha na kumuonya na kumtishia Kama ataeleea kujisahau sitosita kuoa mke wa pili. Japo ni vitisho tu siwezi kuoa mke wa pili.

Turudi kwa yule binti, huyu binti tulipotezeana baada ya kuambizana ukweli sjui alinipa nini ila kutokana na upambanaji wake nikajikuta naanza kumpenda taratibu hatimae nikaruhusu kumpa nafasi, nikaanza kazi ya mrudisha nikafanikiwa japo hatujafikia hatua ya kulana.

Sasa kwake imekua ni kinyume na awali, awali yeye alinipenda ila kwasasa mm ndio nampenda, zilipita siku mbili bila kuwasiliana na sio kawaida.

leo baada ya kuonana nikamuukiza akanambia atanipa sababu kwanini yupo kimya, hatimaye akaniandika sms inasema.

"Kiukweli nakupenda Sana na niliwahi kukupenda kabla, lakini samahani kwa hili naomba nikwambie ukweli nimejaribu kurudisha moyo wangu Kama ilivyo kua awali kabla ya kuniambia una mke lakini nimeshindwa, sipendi kuwa mbali na wewe, naomba tubaki marafiki, nashindwa kukupenda Kama awali tayari wewe sio fungu langu"

Baada ya kupokea hiyo sms sikuijibu ni siku moja tayari imepita, wakuu chanzo cha kutoa nafasi kwa huyu bidada ninkutokana na wife kuto timiza majukumu yake vizuri.

Najiuliza moyoni, in case imetokea huyu binti akawa bi mdogo itakuaje .? Mwanangu si ndo itakua mwanzo wa kulelewa na mzazi mmoja kwa jinsi alivo mama ake lazima aondoke tu. Je ilitokea kabeba ujauzito wangu nitaweza kuitunza siri, je ikifichuka.

Oya ni nomaa mkuu,,, bahati mbaya wengine ni wakimya Sana nimekosa pa kusemea Jambo hili nikaona msaada pekee wa ushauri nije nilisemee humu tupeane busara.

ebu wanaume wenzangu mlio na mipango ya kando, mke mdogo au michepuko ebu njooni mtoe busara zenu tahadhali nimekapenda haka karembo hata kula tu mbususu yake kananitaka nitumie akili mingii kiasi hiki.!?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Aisee!.Ngoja nisome comments tu.
Maana sijaona pa kuchangia,maana kesi kiuhalisia ni ndogo saaanaaaa ila wewe umeiendekeza akili ionekane kesi kubwa.
 
Back
Top Bottom