Mwanaume ukiwa handsome, habari ya kuombwa pesa muda mfupi baada ya kutongoza utaisikia kwa wenzako

Unaweza kuwa handsome na usiwe na nyota ya kupendwa. Mimi sio mrefu, mweusi, pua ya kiafrika, sio Tajiri ila nagonga wanawake wazuri. Ninachofahamu ni kuwa mwanamke anaweza kupenda kitu kimoja tu kutoka kwako na akakupatia mzigo.
Kuna mdada aliniambia nimekupenda kwa kuwa wewe ni mweusi, meno yako yanang'aa na pia vidole vyako vizuri.
Funzo: Uzuri wako upo katika macho ya anayekupenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanaume Handsome, mwanaume mashine na mwanaume pesa

ukiendekeza uhandsome na umashine utakuta kijana amewekwa ndani na bi kizee kinamtunza

Vijana msipende miteremko
Kuna wanaume wana vyote vitatu. Mashine na kuwa handsome ni vitu natural, si kitu mtu utakihangaikia ila pesa zinatafutwa. Wanaume mahandsome pia wanachakarika na bahati inakuwa yao kuwa wamebarikiwa kuwa navyo vyote. Issue ya kusema wanaume mahandsome hawana hiki ama kile ni uvumi unaozushwa na wanaume wasiojiamini
 
Hii comment imefanya nianze asubuh yangu vzur
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa na kuamini kuwa kila tajiri hatouona ufalme wa Mungu. Kuna watu matajiri, mahandsome, wachamungu, genius na Heaven wataingia pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa na kuamini kuwa kila tajiri hatouona ufalme wa Mungu. Kuna watu matajiri, mahandsome, wachamungu, genius na Heaven wataingia pia.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeongea ukweli. Unajua hizi mambo ni maskini tu tunajifariji
, ukipata bahati ya kuwaona hawa matajiri utajua hivi vitu natural kama sura, personality, akili na mvuto pia wanao. Yaani kuna watu wamebarikiwa kila kitu ila ndio hivyo bora tuendelee kujifariji
 
Handsome ni mtu wa aina gani? nani anayeamua kwamba huyu ndiye au siye, embu tujuzane kidogo, kuna viwango au standards ambazo mtu anaweza aka qualify kutoka kwenye group la majority kuingia kwenye group la ma-handsome?
 
Kuna tafiti zinadai eti wachekeshaji nao wanauwezo mkubwa wakupata wanawake kwa kuwachekesha tu je hilo likoje kati ya uhandisome na hawa wachekeshaji?

Je kati ya mchekeshaji na Mhandisome ni nani anayewin kula tunda kimasihara kwa kasi ya 4G ?
 
Hahahaa sijawahi kukutana na wanawake wanaoomba pesa sijui shida nini na ukimpa ni vita anakuuliza umenionaje. Labda mpaka awe na shida sana na hapo kukuambia anajifikiria anaanza na sorry nyingi sana. Ila mimi sio handsome.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we mleta mada umenifanya nicheke sana
nilivyokuwa nasoma diploma singida dah sjui ndo hvyo au bahati tu maana walikuwa wanajigonga hatari mie bichwa hilo sasa kuna mmoja ndo nkamwelewa akawa kama mke sema akili za kichwa cha chini bwana zikiwa hewani unakuwa kama chizi maana kumuuliza kama ameolewa,maana alikuwa anasishi kwenye nyumba nzuri gari safi kazi sikuijua alindanganya tu kuwa kaka zake wako US, siku ya siku tuko ndani tunasikia mlango unafnguliwa wa uani naambiwa mme wangu ndo huyo amekuja nilikuwa mdogo hatari,nakumbuka tu nilikaa chini ya uvungu wa kitanda kwa zaidi ya siku mbili mwisho wa siku wakatoka na mkewe wanarudi siku inayofata hpo nlishapigika siku 3 no msosi nilivyopata upenyo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story ifungulie uzi, hapa unakua unatubania uhondo.

Tuambie ulivyokua uvungu ni ulikua unawaza nini


Kuna watu mmeishi kmmkee


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume hutakiwi kupenda mteremko kabisa , haya mambo hua yanamuda wake , kuna muda utafika hata mwanamke Wa kukuhonga utamtafuta kwa tochi,

Tafuta pesa kijana kwa maisha yako ya badae na vizazi vyako final uzeeni,

Pia mwanaume kutumia calolite ili uwe handsome ni uboya na upunga mwisho Wa siku utatongozwa na wanaume wenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka ukubaliwe haraka na k,wape maneno direct ambayo wewe unaona makali,mfano...'nimevutiwa na wewe,na ingekuwa vizuri kama tunaweza kut.....'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…