Mwanaume ukiwa handsome, habari ya kuombwa pesa muda mfupi baada ya kutongoza utaisikia kwa wenzako

Unaweza kuwa handsome na usiwe na nyota ya kupendwa. Mimi sio mrefu, mweusi, pua ya kiafrika, sio Tajiri ila nagonga wanawake wazuri. Ninachofahamu ni kuwa mwanamke anaweza kupenda kitu kimoja tu kutoka kwako na akakupatia mzigo.
Kuna mdada aliniambia nimekupenda kwa kuwa wewe ni mweusi, meno yako yanang'aa na pia vidole vyako vizuri.
Funzo: Uzuri wako upo katika macho ya anayekupenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanaume Handsome, mwanaume mashine na mwanaume pesa

ukiendekeza uhandsome na umashine utakuta kijana amewekwa ndani na bi kizee kinamtunza

Vijana msipende miteremko
Kuna wanaume wana vyote vitatu. Mashine na kuwa handsome ni vitu natural, si kitu mtu utakihangaikia ila pesa zinatafutwa. Wanaume mahandsome pia wanachakarika na bahati inakuwa yao kuwa wamebarikiwa kuwa navyo vyote. Issue ya kusema wanaume mahandsome hawana hiki ama kile ni uvumi unaozushwa na wanaume wasiojiamini
 
Kwakuwa namimi ni handsome naunga mkono hoja
 
Attachments

  • FB_IMG_15520731374774108.jpg
    FB_IMG_15520731374774108.jpg
    32 KB · Views: 16
Hii comment imefanya nianze asubuh yangu vzur
I used to be like you when i was in my late 10's. Believing in the so called "destiny" till i realized that its what i decide thats really in control of where im going. Stop relying too much on whats written by others, you have yourself and path. Just make tiny decisions and act on them seriously. Nothing on your target 'll become impossible easily

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa na kuamini kuwa kila tajiri hatouona ufalme wa Mungu. Kuna watu matajiri, mahandsome, wachamungu, genius na Heaven wataingia pia.
Kuna wanaume wana vyote vitatu. Mashine na kuwa handsome ni vitu natural, si kitu mtu utakihangaikia ila pesa zinatafutwa. Wanaume mahandsome pia wanachakarika na bahati inakuwa yao kuwa wamebarikiwa kuwa navyo vyote. Issue ya kusema wanaume mahandsome hawana hiki ama kile ni uvumi unaozushwa na wanaume wasiojiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa na kuamini kuwa kila tajiri hatouona ufalme wa Mungu. Kuna watu matajiri, mahandsome, wachamungu, genius na Heaven wataingia pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeongea ukweli. Unajua hizi mambo ni maskini tu tunajifariji , ukipata bahati ya kuwaona hawa matajiri utajua hivi vitu natural kama sura, personality, akili na mvuto pia wanao. Yaani kuna watu wamebarikiwa kila kitu ila ndio hivyo bora tuendelee kujifariji
 
Handsome ni mtu wa aina gani? nani anayeamua kwamba huyu ndiye au siye, embu tujuzane kidogo, kuna viwango au standards ambazo mtu anaweza aka qualify kutoka kwenye group la majority kuingia kwenye group la ma-handsome?
 
Kuna tafiti zinadai eti wachekeshaji nao wanauwezo mkubwa wakupata wanawake kwa kuwachekesha tu je hilo likoje kati ya uhandisome na hawa wachekeshaji?

Je kati ya mchekeshaji na Mhandisome ni nani anayewin kula tunda kimasihara kwa kasi ya 4G ?
 
Hahahaa sijawahi kukutana na wanawake wanaoomba pesa sijui shida nini na ukimpa ni vita anakuuliza umenionaje. Labda mpaka awe na shida sana na hapo kukuambia anajifikiria anaanza na sorry nyingi sana. Ila mimi sio handsome.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we mleta mada umenifanya nicheke sana
nilivyokuwa nasoma diploma singida dah sjui ndo hvyo au bahati tu maana walikuwa wanajigonga hatari mie bichwa hilo sasa kuna mmoja ndo nkamwelewa akawa kama mke sema akili za kichwa cha chini bwana zikiwa hewani unakuwa kama chizi maana kumuuliza kama ameolewa,maana alikuwa anasishi kwenye nyumba nzuri gari safi kazi sikuijua alindanganya tu kuwa kaka zake wako US, siku ya siku tuko ndani tunasikia mlango unafnguliwa wa uani naambiwa mme wangu ndo huyo amekuja nilikuwa mdogo hatari,nakumbuka tu nilikaa chini ya uvungu wa kitanda kwa zaidi ya siku mbili mwisho wa siku wakatoka na mkewe wanarudi siku inayofata hpo nlishapigika siku 3 no msosi nilivyopata upenyo

Hii story ifungulie uzi, hapa unakua unatubania uhondo.

Tuambie ulivyokua uvungu ni ulikua unawaza nini

Kuna watu mmeishi kmmkee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naposema mwanaume ukiwa handsome, namaanisha mwanaume ukiwa na sura nzuri ya kiume, mrefu, na mvuto kama wote, asilimia kubwa ya wadada utakaowatongoza hawatakuomba hela muda mfupi baada ya ww kuwatongoza, na papuchi utapewa kirahisi sana..

Ukimwambia aje gheto, hautazungushwa mwezi mzima na kupewa masharti na visingizio vya Mara ooh Niko busy, cjui kuna mahali inatakiwa niende, sms atajibu kwa wakati, ukimwambia njoo gheto cku flani bhas atakuja cku hiyo hiyo, baada ya wiki au siku 4, au hata siku hiyo hiyo baada ya kumtongoza, mdada atajileta gheto mwenyewe kidume unakula mzigo.

Mdada anaeweka ugumu na kukupa masharti na visingizio kwenye kutoa papuchi, baada ya ww kumtongoza, Mara nyingi 98% of the time, huyo mdada hastahili muda wako..

Fikiria baadhi wale wadada waliokupa papuchi kirahisi baada ya ww kuwatongoza walikuonaje, probably kwenye mahusiano walikuwa wanajipendekeza sana kwako, na wanakupa heshima kama zote, tena wanakwambia flani you are so handsome, sometimes na pesa wanakupa..

Kwa wale mafamba wa humu jf wanaojitoa ufahamu na wanaosema mwanaume kuwa na sura nzuri ni ushoga, mnakaribishwa
Mwanaume hutakiwi kupenda mteremko kabisa , haya mambo hua yanamuda wake , kuna muda utafika hata mwanamke Wa kukuhonga utamtafuta kwa tochi,

Tafuta pesa kijana kwa maisha yako ya badae na vizazi vyako final uzeeni,

Pia mwanaume kutumia calolite ili uwe handsome ni uboya na upunga mwisho Wa siku utatongozwa na wanaume wenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka ukubaliwe haraka na k,wape maneno direct ambayo wewe unaona makali,mfano...'nimevutiwa na wewe,na ingekuwa vizuri kama tunaweza kut.....'
 
Back
Top Bottom