mbona sio tuc hilo jamani, kaambiwa ukweli...sasa kama kamuona mwanaume mtupu acseme?
Hivi ukiwa mwanaume suruwale lakini mtarimbo ukawa mukide kuna tatizo lolote?
Kama mtarimbo unafukua ipasavyo, huyo huyo anayekuita suruwale atakukabizi ATM card yake kwa ajili ya kudraw KADIRI UTAKAVYO.....
Kwangu mimi mwanaume suruali has something to do with perfomance kwenye sita kwa sita tena ya mpingo......:A S 8:layball:
hata kama ni housegirl anajua sana maana ya kauli hiyo,hapo bado ni housegirl je ukimuoa halafu umfungulie biashara ajue kushika pesa si ndio utadharauliwa hadi ukome!
tafakari kwa makini something is wrong!
BB kwa kweli umeniacha hoi !!!!! beki tatu ndo anakutesa, pole sana !!!Hapa sasa nimeelewa.
Mbona binti mwenyewe ni mtumishi wa ndani wa nyumba jirani?
Ila si unajua mapenzi hayabagui wala hayachagui?
hakuna cha nini wala nini.... anavyosema ndivyo anavyokuona, so uamuzi ni wako, either kusuka au kunyoaDemu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?
Unaenda TIENS ukitoka hapo mengine yote ni masimulizi
Hasa baada ya kupiga mikscha ya valuu, pepsi na safari wota....LOL!
kumbe mtu ukiambiwa mwanaume sarawili inauma eehh, kwanini ucshukuru umeambiwa ukweli ujue pa kurekebisha?
Bro mtalimbo peke yake hautoshi siku hizi;lazima uwe na kianzio. Mbona mitalimbo iko mingi tu sasa ale nini??Hivi ukiwa mwanaume suruwale lakini mtarimbo ukawa mukide kuna tatizo lolote?
Kama mtarimbo unafukua ipasavyo, huyo huyo anayekuita suruwale atakukabizi ATM card yake kwa ajili ya kudraw KADIRI UTAKAVYO.....
Kwangu mimi mwanaume suruali has something to do with perfomance kwenye sita kwa sita tena ya mpingo......:A S 8:layball:
kaka hizo dharau mbaya sana kaka achana nae nenda kwanza katafute mkwanja(pesa) hakuna mwanamke anayekuwa na mapenzi ya kweli na mwanaume asiyekuwa na pesa kaka hapo juwa kuna mtu analinganishwa na wewe na wewe unaonekana huna kitu thats why anakuita mwanaume suruali, sipendi sana dharau kama hizi ndo maana huwa nawatafuta nikiwa na mkwanja na namba za simu siwapi ili wasinisumbue teh! Teh! Tee! Ukitaka kuchukua moja kwa moja sawa lakini hapo kaka mmewekwa katika mzani sema hana jinsi anakuvumilia ondoka kabla aibu haijakufika mkuuuudemu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?
Hivi ukiwa mwanaume suruwale lakini mtarimbo ukawa mukide kuna tatizo lolote?
Kama mtarimbo unafukua ipasavyo, huyo huyo anayekuita suruwale atakukabizi ATM card yake kwa ajili ya kudraw KADIRI UTAKAVYO.....
Kwangu mimi mwanaume suruali has something to do with perfomance kwenye sita kwa sita tena ya mpingo......:A S 8:layball:
:mad2::A S 8::confused2::eyeroll2::becky::smile-big:
Da, sasa ndio kipindi cha kwenda kumtongoza mama yake kimewadia ili ajue kuwa wewe kweli ni MWANAUME SURUALI
Hehehehee,wewe tafuta beki tatu ambaye ni fresh from village,huyo keshajua lami za mjini.Pole lakini.Hapa sasa nimeelewa.
Mbona binti mwenyewe ni mtumishi wa ndani wa nyumba jirani?
Ila si unajua mapenzi hayabagui wala hayachagui?
Sasa mwanaume suruali ana sifa zipi? Mbona naona kama ni lugha za mafumbo ndio zinazungumzwa hapa?