Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,895
Demu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?
sasa kama ni kweli mwanaume suruali usiambiwe?...ukweli unauma.
jemedari vipi bj??
1.kuna kigogo anaye naanjua uwezi fanya kitu!!
2.pesa unayompa nikwa ajiri ya salon japo wewe unaona umekata fungu!
3.au yeye anakisu chaukweli hata kodi ya nyumba anakusaidia,kulipa karo za watoto anlipa yeye.
4.wewe huenda kwake kupiga jando!
5.tangu muanzane hujawai kumpa kitu cha maana sana sana chips mayai na lager!
6.kila akikwambia shida zake wewe ndozakwako zinakuwa zaidi ya zakwake!!
7.kwa mantiki hizo anakila sababu kukuita mwanamme suruali.
8.kakuheshimu angekwambia mwanaume kama binti??
9.je yote yanaukweli juu ya hilo??
Demu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?
mkuu na wewe ulishawahi ambiwa hivyo?noa kisu chako uone kama atarudia hayo maneno yake by the way sijui kwanini kila mwanamke huwa anakimbilia huo msemo naona kama vile umeishazoeleka
Useless prat...
Jemedari vipi BJ??
1.Kuna kigogo anaye naanjua uwezi fanya kitu!!
2.Pesa unayompa nikwa ajiri ya salon japo wewe unaona umekata fungu!
3.Au yeye anakisu chaukweli hata kodi ya nyumba anakusaidia,kulipa karo za watoto anlipa yeye.
4.Wewe huenda kwake kupiga jando!
5.Tangu muanzane hujawai kumpa kitu cha maana sana sana chips mayai na lager!
6.Kila akikwambia shida zake wewe ndozakwako zinakuwa zaidi ya zakwake!!
7.Kwa mantiki hizo anakila sababu kukuita mwanamme suruali.
8.Kakuheshimu angekwambia mwanaume kama binti??
9.Je yote yanaukweli juu ya hilo??