Mwanaume suruali

Mwanaume suruali

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
366,018
Reaction score
846,140
Kuna kina dada wanapenda mno kuwananga baadhi ya wanaume kuwa ni wanaume suruali yaani mwanaume anayehudumiwa kila kitu na mwanamke kuanzia chakula mpaka kitandani

Wanaume suruali ni wengi sana hapa town wapo kila kona.

Lakini kuna wanaume suruali kwa tafsiri nyingine kabisa kuna wanaume suruali kwa maana ya mashoga.

Lakini pia kuna wanaume suruali kwa maana ya kuwa hawana kabisa nguvu za kiume hawa tusieacheke wala kuwabeza kwakuwa si amri yao kuwa hivyo walivyo
 
Pole mkuu kuna kimoja kati ya hayo uliyoyasema linakugusa moja kwa moja..
 
Wewe upo kundi gani?? Au hapo pa tusiwacheke? Hahahaha! nsamehe miye ndo nshacheka!!
 
Mwe..! Munkari vipi tena nasema tusiwacheke halafu wewe ndio kwanza unaangua kicheko..!hahahaaaa
 
Hio no 3 simo ila hizo 2 waache wakome ni uvivu wao kutafuta hela " wanafunzi kupata mimba ni viherere vyao"
 
Kuna kina dada wanapenda mno kuwananga baadhi ya wanaume kuwa ni wanaume suruali yaani mwanaume anayehudumiwa kila kitu na mwanamke kuanzia chakula mpaka kitandani

Wanaume suruali ni wengi sana hapa town wapo kila kona.

Lakini kuna wanaume suruali kwa tafsiri nyingine kabisa kuna wanaume suruali kwa maana ya mashoga.

Lakini pia kuna wanaume suruali kwa maana ya kuwa hawana kabisa nguvu za kiume hawa tusieacheke wala kuwabeza kwakuwa si amri yao kuwa hivyo walivyo

Hilo jina la mwanamume suruali nilisha wahi kuitwa! nakumbuka ni siku nilipo muonyesha barua ya kusimamishwa kazi mchumba wangu! na aliniacha! ila aliposikia nimepata kazi mahali pengine aliniita HONEY! nilishangaa mbona bado nimevaa suruale na haniiti mwanaume suruale!!!???
 
hakutenda haki ulipaswa kumpiga kibuti on the dot
 
Back
Top Bottom