Mwanaume rijali

Mwanaume rijali

Nyeto Ni mbaya Sana nashkuru nimeweza kuiacha Mana ilinitesa saana Yani ukiwa mtu wa hi kitu unaongozwa na matamanio Sana yani huna tofaut na mnyama
Mkuu ulitumia njia gani kuiacha? Maana mwenzio nime shindwa kabisa yani bila kula kimoja sijielewi kabisa yani nahic kama akili hazi fanyi kazi sawa ila niki pigatu mambo freshi
 
Back
Top Bottom