elineema William
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 576
- 288
Lazma kununa kama bar jina ndo ilo matendo je yalikuajeHahahaa yaani bar yenyewe ina jina rasmi la hilo jina wametoa wateja kutokana na mmiliki wake kuwa na wahudumu wote waliojaaliwa haswaa.
Lazma kununa kama bar jina ndo ilo matendo je yalikuajeHahahaa yaani bar yenyewe ina jina rasmi la hilo jina wametoa wateja kutokana na mmiliki wake kuwa na wahudumu wote waliojaaliwa haswaa.
Inatakiwa iwe hivyo dailyHii ni sawa but unadhani inakuwa hivyo kila siku!!
tukikutania nyumbani na marafiki kuhusu kupanga michakato ya kiume huwa ni tabu tu piaLazma kununa kama bar jina ndo ilo matendo je yalikuaje
Hiyo ni kulingana na semina za ndoa na vitabu vya mahusiano ila tukirudi kwenye actual life experience kuna milima na mabonde kama kawaidaInatakiwa iwe hivyo daily
Hii matako bar siipo kakora au kuna nyingine?Mkuu matako bar. Unanikumbusha mbali aisee
Ndo utetezi wenu mkubwa.Sasa ninyi my wife wetu mnadhani pesa ya ada au ya vipodozi zinatoka wapi bila kukutana na marafiki. Pili, hamjui kwamba mwanaume ni nje ndani? Sio kukaa ndani tuu.
Ila unapenda kuuliza, au siyo..kati ya vitu ambavyo sipendi kuulizwa, no ulikuwa wapi had I mda huu..
Big up sana umeongea the truth.!!Lazm mkeo anune we kwann ukijua unachelewa usi wasiliane naye mapema kua "baby/mke wangu mpenzi niko mahl flan na marafiki zangu tunabadilishana mawazo kwahy nitachelewa kidgo kurudi nyumbani" tosha,mwanamke ukimpa taarifa au hat ukimshirikisha baadh y nyendo zako atakuamini n hata kama umekwwnd kuchepuk wala hata kua na wasws
Ttzo leni wanaume mnajifanya ubabe sana,mnaona mkiwaambia wake zenu mlipo atakuja kuharibu ,wanawake sikuhiz hatuna huo muda tunataka mapenz full stop
Haya, nenda harak kw mkeo chumbani muombe msamaha kwa mahaba mazito na usirudie tena.
Kesho mpe taarifa uone kama utapata msonyo,nyie wenyew ndio mnakaribisha misonyo
You r always making ma day with your commentsKwa nini ushinde baa... tena matako baa... ni sawa useme ulikuwa unapanga dili za pesa corner bar au kimboka...
Unaongea Hivyo kwa sababu hujui thaman ya mke kwny ndoa n from my little experience.I think your nat married yet thats why you are talking nonsense.!!Achana na mwanamke we fanya mambo yako tu, ukimshirikisha kila kitu utakwama hasa hasa dili za nje ya mda wa kazi utagombana naye bure tu.
Mchana tupo bize na kazi za mwajiri na biashara binafsi. Jioni ndo kila m2 anakuwa free. Tunakutana kujadili mbinu zingine za kujiongezea kipato.Ndo utetezi wenu mkubwa.
Kwani hizo dili hazipangiki mchana?
Sema kingine mkuu, huo utetezi dhaifu sana
Hizo mbinu ndiyo zinajadiliwa mpk saa sita usiku?Mchana tupo bize na kazi za mwajiri na biashara binafsi. Jioni ndo kila m2 anakuwa free. Tunakutana kujadili mbinu zingine za kujiongezea kipato.
Haifiki saa sita mkuu ni around saa 3 tuu.Hizo mbinu ndiyo zinajadiliwa mpk saa sita usiku?
He,he,heh...umejua kujitetea hapo kwny muda.Haifiki saa sita mkuu ni around saa 3 tuu.
Unawahi tena bila shida. sisi ni kujadili maisha hatuna haja na makalio yao. Hata wanawake zetu nao wamejaaliwa vizuri.He,he,heh...umejua kujitetea hapo kwny muda.
Lakin sidhani km kweli unaweza uka kaa pale matako bar alaf ukawahi kurudi hm.
Mkuu pahala pa kukutania tunaamua sote, sio mimi mwenyewe. Na hiyo matako bar ni sehemu nzuri sana. Pub ya uhakika ila hilo jina limekuwa maarufu sababu ya wateja kupendelea kutumia.Maisha ya ndoa msiyafanye kuwa magumu na yenye kuumizana roho.
Kama ni marafiki kutana nao sehemu zenye maadili sio sahemu za hovyo na kumpuuza mkeo kisa ww mwanaume.
Ikiwa unaishi na Mwenza/Mwenzio/Mpenzi wako, anayo haki ya kukuuliza.kati ya vitu ambavyo sipendi kuulizwa, no ulikuwa wapi had I mda huu..