miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
mi ukija na pesa wahiii hata ukirudi asubuhi
Ha hanha et his moment nyie hao enhee nenden zenuBig No
sio wanawake wote,baadhi yetu tunaelewa kbis kua kuna his moment,my moment and our moment
full stop
Ndio hvy na hzo moment n wachache sana tunazielewaHa hanha et his moment nyie hao enhee nenden zenu
Ukitimiza namba moja na mbili wallah ntakupenda daima Hakuna moment nzur kama ya kupewa space aisee na wanaume ukimuacha Huru Mara chache sana atacheatNdio hvy na hzo moment n wachache sana tunazielewaView attachment 420056attachment hyo nimetoa kw salma
Wanawake wengi hawajui kua mwanaume anapenda uhuru wake mwenyew its better umpe uhuru wake ila asivuke mipakaUkitimiza namba moja na mbili wallah ntakupenda daima Hakuna moment nzur kama ya kupewa space aisee na wanaume ukimuacha Huru Mara chache sana atacheat
Nyie kwenu muda wote ni our moment ukitaka kwenda saloon nkusubir nje, ukienda kitchen party nikae bar ya Karibu ukienda shopping nikae nasubrWanawake wengi hawajui kua mwanaume anapenda uhuru wake mwenyew its better umpe uhuru wake ila asivuke mipaka
N pia wanaume waelewe kua na ss tunahiyj uhuru wetu wenyewe tukiwwz fany hvyo maish yatakua murua
Thts y nasema kuna his moment,her moment na our moment
Hahahah some of themNyie kwenu muda wote ni our moment ukitaka kwenda saloon nkusubir nje, ukienda kitchen party nikae bar ya Karibu ukienda shopping nikae nasubr
The only place hamuwez kuja ni kama tukienda kwwnye mipira hapo wadada weng mnashindwa
Hahahah some of them
Lkn hao wanaofany hvy sio kwamba wanafny kusudi jamani ni upendoooooo
Mnapendwaaaaaa[/QUOTE
Hahahah some of them
Lkn hao wanaofany hvy sio kwamba wanafny kusudi jamani ni upendoooooo
Mnapendwaaaaaa[/QUOTE
kati ya vitu ambavyo sipendi kuulizwa, no ulikuwa wapi had I mda huu..
Hata ukiwahi hakuna cha maana saaana. Utakuta mume anaangalia taarifa ya habari akimaliza mke anaendelea na tamthilia zake.Ukiona anahoji ulipochelewa ujue umezidi,saccos gani ya kukutana kila siku usiku, tena bar?
Hapo thawa, pesa mbele mengine baadaye. Nakuaminia miss chagga.mi ukija na pesa wahiii hata ukirudi asubuhi
Mnasemaga changu changu. Chetu changu na chako ni changu. Mnakaba kila kona.Wanawake wengi hawajui kua mwanaume anapenda uhuru wake mwenyew its better umpe uhuru wake ila asivuke mipaka
N pia wanaume waelewe kua na ss tunahiyj uhuru wetu wenyewe tukiwwz fany hvyo maish yatakua murua
Thts y nasema kuna his moment,her moment na our moment
ndiyo mkuuHapo thawa, pesa mbele mengine baadaye. Nakuaminia miss chagga.
Basi hapo kutakua na matatizo inatakiwa uwahi mle wote na kama ni kuangalia TV muangalie wote alafu wakati wa kwenda kulala muende wote kwakua kabla ya kulala kuna mambo hua tunaongeaga Mume na mke.Hata ukiwahi hakuna cha maana saaana. Utakuta mume anaangalia taarifa ya habari akimaliza mke anaendelea na tamthilia zake.
Hii ni sawa but unadhani inakuwa hivyo kila siku!!Basi hapo kutakua na matatizo inatakiwa uwahi mle wote na kama ni kuangalia TV muangalie wote alafu wakati wa kwenda kulala muende wote kwakua kabla ya kulala kuna mambo hua tunaongeaga Mume na mke.
Hahahaa yaani bar yenyewe ina jina rasmi la hilo jina wametoa wateja kutokana na mmiliki wake kuwa na wahudumu wote waliojaaliwa haswaa.Hahahahha iyoo bar jina lake duh