Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
Mwanaume kutoboa macho ili uwe kipofu huo ni Umama,mwanaume unakata kichwa kabisa unatembea na kiwiliwili tu.

Mwanaume kutoboa macho ili uwe kipofu huo ni Umama,mwanaume unakata kichwa kabisa unatembea na kiwiliwili tu.

kucheka pia umamaKumfuata Mod ni umama,mwanaume anafuta mwenyeweHata kumjibu mwenzio huo ni UMAMA mwanaume wa kwel anamfata Mod na kumwambia afute uzi, ampige ban jamaaa!

Mwanaume ni kuzichukua nguo zote unampa demu wako unanunua mpyaMwanaume kulialia eti demu wako kavaa nguo zako na amezitanua ni u_big mama