Mwanaume ni yule ambaye

Mwanaume ni yule ambaye

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Aweki password kwenye simu yake, yupo huru kumwambia mke wake. Mke wangu mzuri pokea simu hiyo.

Anafurahia kuwa na muda na mke wake na kupanga maendeleo

Ampigi mke wake, anamfanyia massages na kumjali mke wake

Anajua majukumu yake

Anatambua mchango wa mke wake wa kazi

Anamwambia mke wake jinsi gani alivyo mzuri

Ili uwe mwanaume kwanza unahitaji kikojoleo cha kiume bana

Hebu uwe na kile kingine na ufanye hayo uone kama utaitwa mwanaume

Wako wanawake ambao wanaishi na wanawake wenzao na wanawafanyia hayo na kamwe hawajaitwa wanaume
Asprin hebu njoo umuambie huyu dogo!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ya kushika simu futa. Sishiki simu ya mtu, ya kwangu asiguse. Pia, suala la kupiga wanawake siafiki kwa kuwa si halali - I would never hit a woman but I sure as hell would shake the sh.it out of her manake wana maneno ya maudhi hawa viumbe. Ha ha ha.
 
Aweki password kwenye simu yake, yupo huru kumwambia mke wake. Mke wangu mzuri pokea simu hiyo.

Anafurahia kuwa na muda na mke wake na kupanga maendeleo

Ampigi mke wake, anamfanyia massages na kumjali mke wake

Anajua majukumu yake

Anatambua mchango wa mke wake wa kazi

Anamwambia mke wake jinsi gani alivyo mzuri

Asante kwamtoro ila haki na wajibu viende pamoja
Aweki password kwenye simu yake, yupo huru kumwambia mke wake. Mke wangu mzuri pokea simu hiyo....
Mwanamke pia ajiamini asiwe pekuzipekuzi wa simu maana unapotafuta makosa utayaona tu...

Na mwanamke pia awe chapakazi na mpenda maendeleo si kila siku kudai pesa ya saloon, nguo na michango ya shughuli

Mwanamke mwenye kidomodomo kichafu na maneno ya shombo kwa mume pasipo sababu lazima apigwe hahaa, wanaume hawapendi makelele

Anajua majukumu yake
Mwanamke pia ajue majukumu yake na kuyatimiza

Anatambua mchango wa mke wake wa kazi
Mwanamke atambue mchango wa mume wake, awe msaidizi pia katika kutimiza majukumu

Mwanamke amwambie mume wake alivyo mume bora, muwajibika na kiongozi bora wa familia
-kama ni baba bora kweli hahaa!

Ili uwe mwanaume kwanza unahitaji kikojoleo cha kiume bana

Hebu uwe na kile kingine na ufanye hayo uone kama utaitwa mwanaume

Wako wanawake ambao wanaishi na wanawake wenzao na wanawafanyia hayo na kamwe hawajaitwa wanaume
Asprin hebu njoo umuambie huyu dogo!

Nakuunga mguu mkuu but umesahau kitu inaitwa PESA coz bila hyo hata iyo massage unaona kama anakuparua tu
 
Last edited by a moderator:
Asante kwamtoro ila haki na wajibu viende pamoja
Aweki password kwenye simu yake, yupo huru kumwambia mke wake. Mke wangu mzuri pokea simu hiyo....
Mwanamke pia ajiamini asiwe pekuzipekuzi wa simu maana unapotafuta makosa utayaona tu...

Anafurahia kuwa na muda na mke wake na kupanga maendeleo
Na mwanamke pia awe chapakazi na mpenda maendeleo si kila siku kudai pesa ya saloon, nguo na michango ya shughuli
Ampigi mke wake, anamfanyia massages na kumjali mke wake
Mwanamke mwenye kidomodomo kichafu na maneno ya shombo kwa mume pasipo sababu lazima apigwe hahaa, wanaume hawapendi makelele

Anajua majukumu yake
Mwanamke pia ajue majukumu yake na kuyatimiza

Anatambua mchango wa mke wake wa kazi
Mwanamke atambue mchango wa mume wake, awe msaidizi pia katika kutimiza majukumu

Anamwambia mke wake jinsi gani alivyo mzuri
Mwanamke amwambie mume wake alivyo mume bora, muwajibika na kiongozi bora wa familia
-kama ni baba bora kweli hahaa!

Pokea Like yangu kwa mikono miwili.
 
Tatizo lipo hapa

No women will ever be truely satisified-----
Becouse no man will even have a chocolate penis that ejaculates money.

Kwa hiyo kumtreat mwanamke like this, itatokeaje?????
 
Nakuunga mguu mkuu but umesahau kitu inaitwa PESA coz bila hyo hata iyo massage unaona kama anakuparua tu

Kikojoleo ndio mpango mzima wewe

Bila hicho hauwezi kuitwa mwanaume!
 
Back
Top Bottom