Mwanaume ni lazima ukunje ngumi kwa mkeo?

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
Hivi mwanaume ni lazima ukunje ngumi kwa mkeo?
Alafu unatembeza kipigo huku umevua sharti kama unapambana na dume.
ngumi.jpg
 
gentleman hawezi kufanya hivyo...hao wanaopiga wanawake ni wanaume wa hovyo sana
 
Kuna tofauti kwati ya mwanaume na mtoto wa kiume. Wanaume hawakunji ngumi bali watoto wa kiume.
 
Kuna tofauti kwati ya mwanaume na mtoto wa kiume. Wanaume hawakunji ngumi bali watoto wa kiume.

there is no better way; umeiweka inavyostahili... YAANI KUNA TOFAUTI KATI YA MWANAUME NA MTOTO WA KIUME
 
"Mwanamke hapigwi kwa ngumu ndugu yangu ila kwa upande wa kanga"
 
yaani hiyo siku mtu anyanyue mkono wake anipige ................duh lazima ndo asahau kama kuna mwanamke mimi! no stop hadi polisi. lol
 
kweli kuna wanawake wanapata shida. inaanzaje mpaka upigwe? kwangu mm ile cku atakayonyanyua mkono kunipiga yani hiyo ndo talaka yangu.
 
gentleman hawezi kufanya hivyo...hao wanaopiga wanawake ni wanaume wa hovyo sana
tutake radhi Preta! Wengine sisi kwetu m/mke asipopigwa analia:pound: tena anasema kwamba eti hatuwapendi:A S-eek:. Mila mama ndiyo inapelekea kichapo! Mchana unadunda kama kawa na jioini kesha sahau na zawadi ya tunda unapata!
 
hata nikikerwa na mwanamke kiasi gani... sioni popote kupiga ngumi ya kilo...:A S 39:!!!naishia kuwa kimya au nahama hapo kwa muda!!
 
kweli kuna wanawake wanapata shida. inaanzaje mpaka upigwe? kwangu mm ile cku atakayonyanyua mkono kunipiga yani hiyo ndo talaka yangu.

Mshukuru God kama umepewa roho ya kuwa ''mama'' ndani ya nyumba yenu, hao wanaodundwa walio wengi wanaponzwa sana na ''Uvuvuzela''! Hakuna mwanamme anayependa mavuvuzela ndani ya nyumba aisee.....!
 
Mshukuru God kama umepewa roho ya kuwa ''mama'' ndani ya nyumba yenu, hao wanaodundwa walio wengi wanaponzwa sana na ''Uvuvuzela''! Hakuna mwanamme anayependa mavuvuzela ndani ya nyumba aisee.....!

NAMSHUKURU mUNGU SIPENDI MAKELELE NA MWENZANGU ANAJUA HILO! SASA NAWE KAMA MWENZIO KAWA VUVUZELA SI UONDOKE HAPO USIMSIKILIZE?
 
Back
Top Bottom