Mwanaume ndiye mwenye maamuzi ya mwisho

Mwanaume ndiye mwenye maamuzi ya mwisho

Wadada wazuri kama rubii ndo mnaongoza kuwakalia wanaume! wengine anaogopa akikwacha pengo halitazibika,atakosa wa kuuza nae sura Samaki Samaki,Fish market,Escape one etc!

Hapana si kweli ndugu yangu... mwanaume tu upumbavu wake kuruhusu kutawaliwa
 
Ndio mwanaume ni kichwa cha familia ila haimaanishi ndo kwa kila kitu ndo atoe last say kwa ubabe.Mi nadhani palipo na upendo hapashindikani kitu.Jadilini then mnafikia muafaka mzuri kwa upendo, sio kupelekana kibabe
 
Kuna wanaume wenzetu wana akili za kike na wanatenda kama wanawake ingawa ni wanaume....hao wanastahili kuongozwa na wanawake......
 
kweli lakini kunawanawake ambao ili uonekane unamsikiliza lazima ufanye anachotaka,ukigoma wafwaa,hata ukimpa sababu anakuona unambania tu!
 
Kuna wanaume wenzetu wana akili za kike na wanatenda kama wanawake ingawa ni wanaume....hao wanastahili kuongozwa na wanawake......
kweli mkuu,unakuta mwanaume amerendemka kama mrenda! mwaache apigwe tu na kupangiwa maisha na wife.
 
Nadhani watu wana changanya baina ya kutawaliwa na kumkubali mwenzio kama mwenyezi mungu kamjaalia ujasiri hata kama awe mwanamke, kwani kumsikiliza mkeo na akitoa maamuzi tatizo liko wapi? as long as mme kubaliana sioni tabu..
 
Kila mtu anawish kuwa na mwanaume strong, anajitambua anataka nini, ana misimamo na anakuongoza kwenye njia sahihi. Ni raha kwa kweli kidume kikinikoromea siku moja moja as long as ananiweka kwenye mstari[emoji13] [emoji13]

Kuna wanaume wao "hawajitambui", afu still anataka akukokote kwenye njia yake ya upotevu, me mtu wa hivi hapana kwa kweli. Either ntamrudisha kwenye mstari ili tuwe sawa, au ntamuacha aende peke yake kwenye njia yake ya upotevu.
Kuna watu kila anachokitaka yeye ndo final say, whether kibaya or kizuri atataka tu umkubalie. Ukimwambia hiki sio sawa anakuita mjeuri, me hapana
 
Idadi ya wanaume inazidi kupungua siku hadi siku
 
Kikubwa ni kila mtu kutambua nafasi yake haki na wajibu basi
 
Kila mtu anawish kuwa na mwanaume strong, anajitambua anataka nini, ana misimamo na anakuongoza kwenye njia sahihi. Ni raha kwa kweli kidume kikinikoromea siku moja moja as long as ananiweka kwenye mstari[emoji13] [emoji13]

Kuna wanaume wao "hawajitambui", afu still anataka akukokote kwenye njia yake ya upotevu, me mtu wa hivi hapana kwa kweli. Either ntamrudisha kwenye mstari ili tuwe sawa, au ntamuacha aende peke yake kwenye njia yake ya upotevu.
Kuna watu kila anachokitaka yeye ndo final say, whether kibaya or kizuri atataka tu umkubalie. Ukimwambia hiki sio sawa anakuita mjeuri, me hapana
Sio kila mwenye jinsia ya kiume ni MWANAUME....
 
Inategemeana na tafsiri yako ya hicho unachokiita upotevu na kurudi kwenye mstari.

Wakati mwingine unachoona kam ni upotevu yey anaona ni njia sahihi na vice versa
 
Back
Top Bottom